PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ukiropoka kilofa kwa kukiuka sheria za nchi utawajibishwa ipasavyo tu gentleman bila mbambamba yoyote 🐒
Walikuwepo Akina Magu, Bokasa, Elibashiri, iddy Amini dada mabutu makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi? Ukatili wako unyama wako Udikiteta wako vina mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake
 
Kila uonevu kila baya kila cha hovyo vina mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Walikuwepo Akina Magu, Bokasa, Elibashiri, iddy Amini dada mabutu makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi? Ukatili wako unyama wako Udikiteta wako vina mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake
Kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka kadiri ya mapenzi ya Mungu, but sio kwa ghadhabu na ramli za kilofa kama hizo gentleman 🐒
 
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.

Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.

Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.

CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.

View attachment 3331181View attachment 3331182
Huyo ni kihoro chake au self defence. Hawanaga aibu wakiishiwa wanazusha chochote
Safari hii lazma waage Tu hakuna namna wananchi wameamua mabadiliko
Mwone huyu mwehu
 
Wewe ndiyo mpotoshaji unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
mimi ni mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa, muhadhiri mwandamizi wa kitaifa na kimataifa, mkulima na mfugaji biashara, apostle na mtumishi mchapakazi asiechoka wa wananchi wa Tanzania.

Daima niko muaminifu na mzalendo katika kuwadhibiti kisiasa waropokaji, vibaka na matapeli wa kisiasa nchini. Daima Nitaendelea kujitolea bila kujibakiza 🐒
 
Ndio. Bila adabu na heshima kwa Serikali ni kipondo tu!
Umekaa ghetto unavuta Bangi kwa kudhani kipondo haramu cha kishetani ni haki yako, vina mwisho wake hata wewe una mwisho wako Walikuwepo madikiteta hatari Duniani leo hii wapo wapi?
 
Unaposema mimi nina mwisho wangu, maana yake wewe hauna mwisho sio? Ahahahahaha!!!
 
mimi ni mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa, muhadhiri mwandamizi wa kitaifa na kimataifa, mkulima na mfugaji biashara, apostle na mtumishi mchapakazi asiechoka wa wananchi wa Tanzania.

Daima niko muaminifu na mzalendo katika kuwadhibiti kisiasa waropokaji, vibaka na matapeli wa kisiasa nchini. Daima Nitaendelea kujitolea bila kujibakiza 🐒
Wewe siyo mtaalamu na siyo msomi na kama unajiita msomi uliiba mitihani ukapata vyeti na endapo ccm ndiyo wanakutegemea kuwatetea mitandaoni wamebugi sana kwani huna hoja huna unachojua zaidi ya kukariri kuwa ukosoaji wa mapungufu ya ccm ni uropokaji wakati waropokaji unao huko huko ccm, huna uzalendo wowote kama ni kujitolea unajitolea kubariki vitendo haramu vya kishetani hufai kabsa wewe ni zaidi ya shetani
 
Unaposema mimi nina mwisho wangu, maana yake wewe hauna mwisho sio? Ahahahahaha!!!
Wote tuna mwisho lakini wewe mtu katili mtu usiye na utu huruma umekariri kuwa utaishi milele na hayo matendo yako haramu ya kishetani
 
Everybody has to live his/ her days. How to live them depends on yourself!
 
Kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka kadiri ya mapenzi ya Mungu, but sio kwa ghadhabu na ramli za kilofa kama hizo gentleman 🐒
Ulofa unao wewe kukariri kuwa chadema ni waropokaji huo ndiyo urofa wako mkubwa, leo ndiyo utajua kuwa wewe ni rofa pengine ulikuwa hujui kwani hawakuwa wakikuambia ukweli
 
Wewe siyo mtaalamu na siyo msomi na kama unajiita msomi uliiba mitihani ukapata vyeti na endapo ccm ndiyo wanakutegemea kuwatetea mitandaoni wamebugi sana kwani huna hoja huna unachojua zaidi ya kukariri kuwa ukosoaji wa mapungufu ya ccm ni uropokaji wakati waropokaji unao huko huko ccm, huna uzalendo wowote kama ni kujitolea unajitolea kubariki vitendo haramu vya kishetani hufai kabsa wewe ni zaidi ya shetani
Punguza mihemko gentleman na urelax plz.

tuachane na hizo accademic credentials zangu coz hiyo ni intro tu,

but there is no way vibaka na matapeli wa kisiasa wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi wanaweza kujipenyeza na kutikisa umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote.
watadhibitiwa vilivyo na wanavyo ropoka kilofa hivyo hamna kitu wanaweza kufanya wala mahali wanaweza kwenda 🐒
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake ipo siku ya Senegal ghana Zambia yatatokea Tanzania na ccm kuwa kama chama cha KANU kule kenya na watesi nyie kujutia mateso yenu
 
Ulofa unao wewe kukariri kuwa chadema ni waropokaji huo ndiyo urofa wako mkubwa, leo ndiyo utajua kuwa wewe ni rofa pengine ulikuwa hujui kwani hawakuwa wakikuambia ukweli
Sio tu kwamba chadema ni waropkaji,
but utambulisho wao kitaifa ni mihemko na kuporomosha matusi 🐒
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake ipo siku ya Senegal ghana Zambia yatatokea Tanzania na ccm kuwa kama chama cha KANU kule kenya na watesi nyie kujutia mateso yenu
epuka dhana potofu na ramli za kilofa namna hiyo gentleman 🐒
 
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.

Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.

Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.

CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.

View attachment 3331181View attachment 3331182
Mawazo hayapigwi rungu.
Tushindane kwa hoja.
 
Punguza mihemko gentleman na urelax plz.

tuachane na hizo accademic credentials zangu coz hiyo ni intro tu,

but there is no way vibaka na matapeli wa kisiasa wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi wanaweza kujipenyeza na kutikisa umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote.
watadhibitiwa vilivyo na wanavyo ropoka kilofa hivyo hamna kitu wanaweza kufanya wala mahali wanaweza kwenda 🐒
Kazi ya Upinzani ni kuikosoa Serikali popote Duniani, kazi ya Upinzani siyo kufagilia wizi, ufisadi, ukiukaji wa sheria za Nchi na mambo yote ya hovyo
 
Back
Top Bottom