Upendo upi? Wakati mnawatuma Polisiccm kuwaonea wapinzaniRelax gentleman punguza makasiriko tujadili mambo kwa upendo kama waTanzania š
Upendo upi? Wakati mnawatuma Polisiccm kuwaonea wapinzaniRelax gentleman punguza makasiriko tujadili mambo kwa upendo kama waTanzania š
Ni magaidi.Sisiemu sio chama cha siasa
Sawa Pededeshee CPA Amos baba na GadiSera ya CDM ni matusi
Unataka maridhiano ya nini wakati Rais wako na chama chako Hawataki Uchaguzi wa kweli na maridhiano ya kweli.kiutaratibu nafikiri ni kueneza uasi ,maana kama ukiwa disqualified kushiriki uchaguzi hutakiwi kuendelea na campain ya no reform no elections kwa sababu wewe siyo mshiriki tena wa uchaguzi. labda mngefungua kesi mahakamani kupinga uchaguzi .so be careful .acha wanaoshiriki washiriki kwa amani. au tafuta njia nyengine ya maridhiano pengine yanbweza kuwa sawa kuliko ilivyo kwa sasa .
Pure agape gentleman,Upendo upi? Wakati mnawatuma Polisiccm kuwaonea wapinzani
una uhakika kweli?maboresho yalifanyika kule bungeni .sasa wewe unataka marekebisho mengine yepi na wakati muda umeisha ? kwanza ni dharau kubwa kwa MBOWE.mlisubili TL awe mweneyekiti ndo muanze nyimbo zenu za unyumbu wa no reform no electionsUnataka maridhiano ya nini wakati Rais wako na chama chako Hawataki Uchaguzi wa kweli na maridhiano ya kweli.
Nilikuwa na kuchukia bonge la adija kopa kumbe zuchuKama huogopi kukamatwa kelele za nini?
ivi mna akili timamu kweli ? waage wamuachie nani wakati chadema wameshaweka mpira kwapani yaaani mnajizima data kabisa hamjui kama chadema hawashiriki uchaguzi? hamna akili nyie mna matope kichwaniSafari hii lazma waage Tu hakuna namna wananchi wameamua mabadiliko
Sera ya CDM ni matusi
Watushike wote, asiishie kwa viongozi wetu tuMakamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.
CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.
View attachment 3331181View attachment 3331182
Kama mliweza kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 amabo wengi mlijiunga chadomo katika kipindi chake, hakuna aliye salama kwa matusi yenu.Nilikuwa na kuchukia bonge la adija kopa kumbe zuchu
Bunge lipi???Hili hili lenye wabunge feki 19??? Au jingine.una uhakika kweli?maboresho yalifanyika kule bungeni .sasa wewe unataka marekebisho mengine yepi na wakati muda umeisha ? kwanza ni dharau kubwa kwa MBOWE.mlisubili TL awe mweneyekiti ndo muanze nyimbo zenu za unyumbu wa no reform no elections
ya ccm ni nini?matusi
maendeleo ya watu na vituya ccm ni nini?
Heche anaeleza ukweli na amesoma vya kutosha kuliko hao CCM wenu wabakaji wa democracy. Kama mna ubavu nendeni kwenye kura za haki muone nani anapendwa nchi hii. Mnalazimisha watu wawapende wakati hakuna anayewapenda mbwa ninyi.Gentleman,
hayupo wa kuhangaika na mtu mropkaji kama heche aliefilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti na anaishi kwa wazazi wake na utu uzima wake š