PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kiutaratibu nafikiri ni kueneza uasi ,maana kama ukiwa disqualified kushiriki uchaguzi hutakiwi kuendelea na campain ya no reform no elections kwa sababu wewe siyo mshiriki tena wa uchaguzi. labda mngefungua kesi mahakamani kupinga uchaguzi .so be careful .acha wanaoshiriki washiriki kwa amani. au tafuta njia nyengine ya maridhiano pengine yanbweza kuwa sawa kuliko ilivyo kwa sasa .
 
Wananchi na viongozi wa Chadema wasikubali akamatwe, wsmpeleke wenyewe polisi wakawakabidhi kituoni.
Wasishangae wakimchikia baadae wakasrma hawaoo naye!
 

Wakifanya hivo watawaongezea sifa.

Hiv chadema inatisha sana kihivyo eti? mbona kamata kamata nyingi sana.Vipi kama ccm nao wangekuwa wanaendesha mikutano na kujibu tuhuma zinazoletwa na CDM,ukiaca ile ya kununua virus vya Mpox na ebola.
 
Tumuombeni Mungu aamue huu ugomvi. Maana Mungu hashindwi na wanasiasa hawaeleweki Kwa macho ya kawaida
Mungu ingilia kati
 
CCM wamepaniki vibaya Sana kwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…