Heche: Tumekaribia kukiondoa chama kilichotutesa kwa miaka 65 tangu Uhuru

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana

Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
 
Hata shetani akifaulu kimpindua Mungu ata gundua yeye ni Mungu anayesubiria kupinduliwa
 
Safi sana CHADEMA.
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana

Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
 
Heche sometimes huwa anafurahisha sana,

Yeye yupo zake anazindua tawi la CHADEMA mtaani mwaka 2026 meishoni wakati huo mwaka 1961 CCM (TANU) ilishatapakaa nchi nzima kuanzia balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata mkuu wa wilaya, katibu, mkuu wa mkoa mbunge, waziri, waziri mkuu wote ni wana CCM (TANU)

Hawa ndio waliotumika kuwaondoa machief ambao walikuwa na nguvu wakati huo

Mbaya zaidi watumishi wote wa umma walikuwa ni CCM (TANU)

Command ikitoka juu inaenda mpaka chini kwa balozi wa nyumba kumi kwa haraka.

CCM ni kama mbuyu ulioota kwenye mlima wa mawe kuuchimba hutaweza wala kuuangusha kwa kuusukuma na mikono ni ngumu.

Wewe Heche sasa hivi unapanda mbuyu (tawi) sjbiri miaka 50 mbuyu wako ukue ndio uiangushe CCM tena uulinde mbuyu wako kwa hali na mali maana kuna watu watakuja kukata fito wengine kuni na mbuyu wako ufutike.

NB mimi sina chama napenda kusema ukweli
 
Ccm bila sapoti ya vyombo vya dola hamna kitu!.
Mfano, wananchi walio wengi walimkataa samuya kwenye sanduku la kura lakini tume ya uchaguzi imewalazimishia samuya kuwa raia wao wapende wasipende!.
 
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana

Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
Kwa watakao amini hoja hii, watasubiri sana!
P
 
CCM, Chama Cha Mauji kimekwishaondolewa mioyoni mwa umma, kilichobakia ni utaratibu tu kukiondoa physically.
 
Heche sometimes huwa anafurahisha sana,

Yeye yupo zake anazindua tawi la CHADEMA mtaani mwaka 2026 meishoni wakati huo mwaka 1961 CCM (TANU) ilishatapakaa nchi nzima kuanzia balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata mkuu wa wilaya, katibu, mkuu wa mkoa mbunge, waziri, waziri mkuu wote ni wana CCM (TANU)

Hawa ndio waliotumika kuwaondoa machief ambao walikuwa na nguvu wakati huo

Mbaya zaidi watumishi wote wa umma walikuwa ni CCM (TANU)

Command ikitoka juu inaenda mpaka chini kwa balozi wa nyumba kumi kwa haraka.

CCM ni kama mbuyu ulioota kwenye mlima wa mawe kuuchimba hutaweza wala kuuangusha kwa kuusukuma na mikono ni ngumu.

Wewe Heche sasa hivi unapanda mbuyu (tawi) sjbiri miaka 50 mbuyu wako ukue ndio uiangushe CCM tena uulinde mbuyu wako kwa hali na mali maana kuna watu watakuja kukata fito wengine kuni na mbuyu wako ufutike.

NB mimi sina chama napenda kusema ukweli
Kitendo cha wao CHADEMA kuanza kufungua matawi ni hatua na ndio wanachodai wanakaribia kuiondoa CCM miaka uliyotaja haikuwa na wafuasi kiasi hicho hadi kwenye matawi.
 
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana

Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
Ndugu wa karibu nadhani waanze kukaa karibu na Heche kwa ajili ya kumsitiri,asije akafikia hatua ya kuvua nguo hadhari akamwaga radhi. Kwa hii kauli wapendwa , muda wowote kuanzia sasa atakuwa mwehu.
 
fisadi heche ni useless sana aise :pedroP:

hapo mafuata mkumbo yalivyo malofa,yatakua yamefurahishwa kweli na hiyo porojo nonsense ya huyo mnuka kikwapa heche, aise dah :pedroP:
Kwako mkata viuno unajisikiaje kumukatia viuno mwanaume heche Tena kipindi chenye ndio hiki Cha kulinda mgongo!
 
Punguani kama wewe utajifananisha ni mtu mwenye akili, mzalendo halisi Heche!! Wewe mbele ya Heche ni takataka, kwani huna lolote jema la kukumbukwa katika nchi hii.
ila huyo mnuka kikwapa na mraibu wa kubeti fisadi heche anawashika maskio wafuata mkumbo,
nadhani mpaka nyie wenyewe mnajicheka :pedroP:
 
Heche sometimes huwa anafurahisha sana,

Yeye yupo zake anazindua tawi la CHADEMA mtaani mwaka 2026 meishoni wakati huo mwaka 1961 CCM (TANU) ilishatapakaa nchi nzima kuanzia balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata mkuu wa wilaya, katibu, mkuu wa mkoa mbunge, waziri, waziri mkuu wote ni wana CCM (TANU)

Hawa ndio waliotumika kuwaondoa machief ambao walikuwa na nguvu wakati huo

Mbaya zaidi watumishi wote wa umma walikuwa ni CCM (TANU)

Command ikitoka juu inaenda mpaka chini kwa balozi wa nyumba kumi kwa haraka.

CCM ni kama mbuyu ulioota kwenye mlima wa mawe kuuchimba hutaweza wala kuuangusha kwa kuusukuma na mikono ni ngumu.

Wewe Heche sasa hivi unapanda mbuyu (tawi) sjbiri miaka 50 mbuyu wako ukue ndio uiangushe CCM tena uulinde mbuyu wako kwa hali na mali maana kuna watu watakuja kukata fito wengine kuni na mbuyu wako ufutike.

NB mimi sina chama napenda kusema ukweli
CCM ililazimisha uanachama vinginevyo utakosa elimu ya juu, huduma na ajira.
 
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana

Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
Heche ma Chadema wakiisha iondoa CCM mni tag.
 
Back
Top Bottom