Heche: Tumekaribia kukiondoa chama kilichotutesa kwa miaka 65 tangu Uhuru

Heche: Tumekaribia kukiondoa chama kilichotutesa kwa miaka 65 tangu Uhuru

kwani wewe kuna mtu anategemea utacomment tofaut na ulivyofanya, ndio maana ulikomea kura moja na watu wamekuwa wakikupa moyo huku wakijua walishakupuuza.
Mtu ukiwa mkweli wa type yangu, kuwaeleza ukweli wanaodanganywa, utaonekana an enemy of the people!, mimi hili la kupuuzwa nimeisha lizoea, ila mwisho wa siku, ni ukweli ndio utasimama mpaka mwisho!.
-

Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!​

-

Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!​

P
 
Back
Top Bottom