Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana
Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
Kwa watakao amini hoja hii, watasubiri sana!Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana
Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
Kitendo cha wao CHADEMA kuanza kufungua matawi ni hatua na ndio wanachodai wanakaribia kuiondoa CCM miaka uliyotaja haikuwa na wafuasi kiasi hicho hadi kwenye matawi.Heche sometimes huwa anafurahisha sana,
Yeye yupo zake anazindua tawi la CHADEMA mtaani mwaka 2026 meishoni wakati huo mwaka 1961 CCM (TANU) ilishatapakaa nchi nzima kuanzia balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata mkuu wa wilaya, katibu, mkuu wa mkoa mbunge, waziri, waziri mkuu wote ni wana CCM (TANU)
Hawa ndio waliotumika kuwaondoa machief ambao walikuwa na nguvu wakati huo
Mbaya zaidi watumishi wote wa umma walikuwa ni CCM (TANU)
Command ikitoka juu inaenda mpaka chini kwa balozi wa nyumba kumi kwa haraka.
CCM ni kama mbuyu ulioota kwenye mlima wa mawe kuuchimba hutaweza wala kuuangusha kwa kuusukuma na mikono ni ngumu.
Wewe Heche sasa hivi unapanda mbuyu (tawi) sjbiri miaka 50 mbuyu wako ukue ndio uiangushe CCM tena uulinde mbuyu wako kwa hali na mali maana kuna watu watakuja kukata fito wengine kuni na mbuyu wako ufutike.
NB mimi sina chama napenda kusema ukweli
Ndugu wa karibu nadhani waanze kukaa karibu na Heche kwa ajili ya kumsitiri,asije akafikia hatua ya kuvua nguo hadhari akamwaga radhi. Kwa hii kauli wapendwa , muda wowote kuanzia sasa atakuwa mwehu.Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana
Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
Kwako mkata viuno unajisikiaje kumukatia viuno mwanaume heche Tena kipindi chenye ndio hiki Cha kulinda mgongo!fisadi heche ni useless sana aise
hapo mafuata mkumbo yalivyo malofa,yatakua yamefurahishwa kweli na hiyo porojo nonsense ya huyo mnuka kikwapa heche, aise dah
ila huyo mnuka kikwapa na mraibu wa kubeti fisadi heche anawashika maskio wafuata mkumbo,Punguani kama wewe utajifananisha ni mtu mwenye akili, mzalendo halisi Heche!! Wewe mbele ya Heche ni takataka, kwani huna lolote jema la kukumbukwa katika nchi hii.
Hamzidi samuya aliyefeli form four!.Heche ni bogus sana
CCM ililazimisha uanachama vinginevyo utakosa elimu ya juu, huduma na ajira.Heche sometimes huwa anafurahisha sana,
Yeye yupo zake anazindua tawi la CHADEMA mtaani mwaka 2026 meishoni wakati huo mwaka 1961 CCM (TANU) ilishatapakaa nchi nzima kuanzia balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata mkuu wa wilaya, katibu, mkuu wa mkoa mbunge, waziri, waziri mkuu wote ni wana CCM (TANU)
Hawa ndio waliotumika kuwaondoa machief ambao walikuwa na nguvu wakati huo
Mbaya zaidi watumishi wote wa umma walikuwa ni CCM (TANU)
Command ikitoka juu inaenda mpaka chini kwa balozi wa nyumba kumi kwa haraka.
CCM ni kama mbuyu ulioota kwenye mlima wa mawe kuuchimba hutaweza wala kuuangusha kwa kuusukuma na mikono ni ngumu.
Wewe Heche sasa hivi unapanda mbuyu (tawi) sjbiri miaka 50 mbuyu wako ukue ndio uiangushe CCM tena uulinde mbuyu wako kwa hali na mali maana kuna watu watakuja kukata fito wengine kuni na mbuyu wako ufutike.
NB mimi sina chama napenda kusema ukweli
Hatimae mmefunga ndoa mkuu
Heche ma Chadema wakiisha iondoa CCM mni tag.Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa miaka 65 tangu Uhuru ulipopatikana
Heche amesema maneno hayo katika Uzinduzi huo wakati wa ziara ya kikazi na kuhutubia mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Soma Pia: John Heche: Kwa miaka 60 wamejenga kareli hadi Dodoma, wanaimba utafikiri wamerongwa
kwani wewe kuna mtu anategemea utacomment tofaut na ulivyofanya, ndio maana ulikomea kura moja na watu wamekuwa wakikupa moyo huku wakijua walishakupuuza.Kwa watakao amini hoja hii, watasubiri sana!
P