kwani wewe kuna mtu anategemea utacomment tofaut na ulivyofanya, ndio maana ulikomea kura moja na watu wamekuwa wakikupa moyo huku wakijua walishakupuuza.
Mtu ukiwa mkweli wa type yangu, kuwaeleza ukweli wanaodanganywa, utaonekana an enemy of the people!, mimi hili la kupuuzwa nimeisha lizoea, ila mwisho wa siku, ni ukweli ndio utasimama mpaka mwisho!.
-