Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana.
kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili michezo na wasanii......
Nashauri Chadema nao wapige hapohapo kwenye mshono.
John heche, hebu badilika kidogo hata kama Huna interest na michezo....
Acha na stories zilezile za mfano
"Nchii imebarikiwa kila kitu Dhahabu, Almas, misitu, Wanyama, maziwa, mito nk".........hayo leo kila mtu anayajua....
Hebu wapeleke Watanzania hivyo hivyo walivyozoeleshwa...
Anika mapungufu katika contents hizohizo zinazogusa hisia zao.....
Leo kutwa nzima, media zote zilikuwa zinajadili CAF kuufungia uwanja wa Serikali wa mkapa kwa uzembe uliotokana na Serikali hiyohiyo......
Hili likipita, wakati husika utaamua.