PreGE2025 Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.

"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

===

Maoni ya wadau

Samia atapata kura milioni 15?

Kuna dalili watakaomkataa ni wengi kuliko wanaomkubali! Kuna kila dalili wakapata watu milioni 30 kwenye zoezi hilo!

Hii ni mbinu mpya ambayo CCM ilikuwa haijaijua!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.

Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.

"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Supper
 
This technique ni kwa watu wenye akili tu
 
Mwamba akiacha ganja atapevuka

Haraka hata Saini milioni tatu

Labda atembeze fomu Je ya nchi
 
Ni chache? Au nyingi sana? Point yako ni ipi?
1: Nyingi sana, na hawezi kuwafikia hao watu wote, wakiwafikia walete hizo karatasi zenye hizo sign.

2: Hao watanzania 15M ni akina nani? Kama ni hawa hawa vijana ambao wanakuja kwenye mikutano ila kupiga kura hawataki, basi nawapa pole. Maana mimi nilidhani wapo specific kutaka aina fulani ya hao watu.
 
1: Nyingi sana, na hawezi kuwafikia hao watu wote, wakiwafikia walete hizo karatasi zenye hizo sign

2: Hao watanzania 15M ni akina nani?
Kama ni hawa hawa vijana ambao wanakuja kwenye mikutano ila kupiga kura hawataki, bc nawapa pole mana Mm nilidhani wapo specific kutaka aina fulani ya hao watu.
Subiri watu waingie kazini. Utaona.

Watu wako serious na kazi zao. Endelea na mtazamo wako hasi huo huo
 
Ni lazima tuiambie Dunia kuwa wawe tayari kupokea Wakimbizi wa Tanzania kama Tume isipofanyiwa Reforms.
 
Samia atapata kura milioni 15?

Kuna dalili watakaomkataa ni wengi kuliko wanaomkubali! Kuna kila dalili wakapata watu milioni 30 kwenye zoezi hilo!

Hii ni mbinu mpya ambayo CCM ilikuwa haijaijua!
 
Sijawahi kupiga kura, sijawahi kuwa shabiki wa chama chcht kile.
Yote hizo n kwa sababu ya upuuzi unaofanywa na tume/viongozi wakuu wa nchi ndo maana sioni haja ya Mm kupiga kura.
Kupiga kura ni haki yako ya kimsingi na kikatiba, umekiri kwamba haupigi kura sababu unaona hakuna tume huru na haki, sasa ni muda wakuamka na kupambana kama mwananchi unayeona haki yako inaibiwa sio kuwaachia wanasiasa tu hili ni swala la wadau wote. Punguza malalamiko toa mchango wako kwa ajili yako na kizazi chako.
 
Kupiga kura sio haki yangu ya msingi, ndo mana sipigi kura.
Hakuna mahali nimelalamika.
 
Mtashangazwa jinsi uchaguzi ukifanyika na wananchi kwa wingi wao watakavyo shiriki kuchagua viongozi wao

Msije kulalamikia takwimu za tume huru huko mbele ya safari wakati wenzenu wakitangazwa washindi

Tuna amini uchaguzi utafanyika kwa amani na utakuwa huru. Na maamuzi ya wapiga kura yataheshimiwa
 
Back
Top Bottom