PreGE2025 Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kupiga kura sio haki yangu ya msingi, ndo mana sipigi kura.
Hakuna mahali nimelalamika.
Kupiga kura ni haki ya kila mtanzania aliyefikisha miaka 18 ( kikatiba). Usipotimiza umevunja haki yako ya kikatiba, na umejidhulumu haki yako yakufanya maamuzi. Kama kuna sehemu kunachangamoto unataka nani akarekebishe kama sio sisi wenyewe.
Vijana wakitanzania tuache uwoga tunaogopa hata kwenye social media tukiambiwa tuingie road mtathubutu?
 
Mtashangazwa jinsi uchaguzi ukifanyika na wananchi kwa wingi wao watakavyo shiriki kuchagua viongozi wao

Msije kulalamikia takwimu za tume huru huko mbele ya safari wakati wenzenu wakitangazwa washindi

Tuna amini uchaguzi utafanyika kwa amani na utakuwa huru. Na maamuzi ya wapiga kura yataheshimiwa
Kwa katiba ipi?
Hatujawahi kufanya uchanguzi huru hapa tanzania, endeleeni kuubaka uchaguzi kwa katiba yenu mbovu mnayoilazimisha kwa watanzania kaa mkijua watu wanaendelea kuelimika na kujifunza.
Msipofanya kwa hiari basi mtalazimishwa.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.

Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.

"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

hatimae matapeli wa kisiasa wamesalimu amri ya kupuuzwa na wananchi right?

No reform no elections is dead, right gentleman?
Hongera Chadema kwa kuamua kushiriki Uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 🐒
 
Sijawahi kupiga kura, sijawahi kuwa shabiki wa chama chcht kile.
Yote hizo n kwa sababu ya upuuzi unaofanywa na tume/viongozi wakuu wa nchi ndo maana sioni haja ya Mm kupiga kura.
Sasa kwanini unawatukana wanaojipanga kuzuia huu upuuzi? Unataka waingie kwenye uchaguzi chini ya tume na sheria hizo hizo kisha wakifanyiziwa wapige kelele?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.

Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.

"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

Halafu hizo kura zisaidie nini? CCM tukitaka ndani ya saa moja tu tunaweza kukusanya Saini milioni 50 za kumuunga Mkono Mama Samia Suluhu Hassan kama Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
 
Ambacho sijafahamu ni vipi kila mgombea atapata saini milioni 15.
 
Hivi kwanini maccm mengi ni machawa, mambumbumbu na njaa kali?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.

Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.

"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

Wanaisaidia CCM kushinda mapeeeema
 
Kwa katiba ipi?
Hatujawahi kufanya uchanguzi huru hapa tanzania, endeleeni kuubaka uchaguzi kwa katiba yenu mbovu mnayoilazimisha kwa watanzania kaa mkijua watu wanaendelea kuelimika na kujifunza.
Msipofanya kwa hiari basi mtalazimishwa.
Wewe kama hukuwahi ni wewe mkuu. Sipingani na mawazo yako
 
Ili wabunge wote wapate saini hizo, italazimu mpaka mimba zisaini na bado hazitafikia idadi timilifu.
 
Wanufaika wa mfumo haramu wa CCM hawaamini kinachofanyika ,safi sana chadema,tuko pamoja
 
K
Yani sign 15M za Watanzania? 😂
Hiki sio tuu kichekesho, bali ni upuuzi pia.
Wewe ni mweupe,ni lay Man katika uwanja wa siasa na diplomasia kama hujui maana ya petition na nguvu ya petition kwenye international platform dhidi ya adui, mpinzani.

Nakushauri kaa kimyaa usijifunue level bya ujinga wako.Unaita petition upuuzi??

MPUUZI ni wewe ambaye hujui wala huelewi maana ya petition 🤔🤔🤔
 
Sasa hivi humu jukwaani chadema wamekuwa ndo 'orijino comedy', Kila ukiamka unakutana na kichekesho Cha chadema.........
 
Yani sign 15M za Watanzania? 😂
Hiki sio tuu kichekesho, bali ni upuuzi pia.

Pole sana Mkuu ambaye umefanya sehemu ya kuwekea ubongo kuwa MZIGO KWA KIWILIWILI.

Wacha nikupe madini kidogo kuhusu petition.

What is the full meaning of petition?

noun. 1. a document signed by a large number of people demanding some form of action from a government or other authority.

2. any formal request to a higher authority or deity; entreaty.

What are the benefits of petition?

Petitions play a key role in creating awareness on critical issues,

enabling citizens to raise their voices and push for change.

Higher authority inaweza UN, Europian Union kupitia Europian Parliament, ambao kimsingi huko ndiko nchi wanachama .

Tanzania huwa inapeleka BAKULI LA OMBAOMBA kwa ajili ya miradi mpaka ile ambayo wenyewe tungeweza kufanya, kama ujenzi wa vibanda vya KUNYEA SHULENI A.K.A vyoo!!!

Lakini pia mashirika ya kimataifa yanayojali haki za Binadamu kama qualifications ya kupata misaada.

Mfano World 🏦, World Trade Organization, International Monetary Fund I.M.F,

ambao wanaweza KUIBINYA PUMBU serikali kupitia misaada kukubalina na madai ambayo yatakuwa supported na evidence.

Mkuu ungekuwa umeaoma secondary kufikia angalau form two ,ungeelewa kidogo angalau hata maana ya hilo civic term Petition.

Pole kwa kukimbia umande 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.

Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.

"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.

Reforms ni muhimu kutunza heshima ya kura
 
Kupiga kura sio haki yangu ya msingi, ndo mana sipigi kura.
Hakuna mahali nimelalamika.
Yawezekana haujalalamika popote, basi angalau basi hata usibeze jitihada za wale wanaojaribu kufanya chochote ili hali ibadilike
 
Mtashangazwa jinsi uchaguzi ukifanyika na wananchi kwa wingi wao watakavyo shiriki kuchagua viongozi wao

Msije kulalamikia takwimu za tume huru huko mbele ya safari wakati wenzenu wakitangazwa washindi

Tuna amini uchaguzi utafanyika kwa amani na utakuwa huru. Na maamuzi ya wapiga kura yataheshimiwa
Naomba haya yaime baraka na laana kwa kizazi chako.
 
Halafu hizo kura zisaidie nini? CCM tukitaka ndani ya saa moja tu tunaweza kukusanya Saini milioni 50 za kumuunga Mkono Mama Samia Suluhu Hassan kama Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Wanatafuta uhalali wa kuzuia uchaguzi kutoka kwa umma kama hujui.
 
Back
Top Bottom