Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Samia atapata kura milioni 15?
Kuna dalili watakaomkataa ni wengi kuliko wanaomkubali! Kuna kila dalili wakapata watu milioni 30 kwenye zoezi hilo!
Hii ni mbinu mpya ambayo CCM ilikuwa haijaijua!
SupperMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.
Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.
"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.
Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
Ni chache? Au nyingi sana? Point yako ni ipi?Yani sign 15M za Watanzania? 😂
Hiki sio tuu kichekesho, bali ni upuuzi pia.
This technique ni kwa watu wenye akili tuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.
Heche amesisitiza kuwa, kwa ajili ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, kila mgombea atahitaji kukusanya saini kutoka kwa Watanzania milioni 15 ili kuonyesha upinzani dhidi ya mfumo wa uchaguzi wa sasa na kuonyesha kutokubaliana na kile alichokiita wizi wa uchaguzi.
"Ndugu zangu, tukiondoka hapa, tuchukue fomu za 'petition' twende kila jimbo kama unataka kuwa mbunge, tunataka saini za Watanzania milioni 15, wanaosema uchaguzi kwa njia hii haiwezekani na hatukubali wizi wa uchaguzi," amesema Heche na kuongeza kuwa saini hizo zitakusanywa na kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa.
Heche amebainisha hayo leo, Alhamisi Aprili 3, 2025 wakati wa mkutano wa uongozi wa juu wa chama hicho na watia nia katika nafasi za ubunge unaofanyika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam.
1: Nyingi sana, na hawezi kuwafikia hao watu wote, wakiwafikia walete hizo karatasi zenye hizo sign.Ni chache? Au nyingi sana? Point yako ni ipi?
Subiri watu waingie kazini. Utaona.1: Nyingi sana, na hawezi kuwafikia hao watu wote, wakiwafikia walete hizo karatasi zenye hizo sign
2: Hao watanzania 15M ni akina nani?
Kama ni hawa hawa vijana ambao wanakuja kwenye mikutano ila kupiga kura hawataki, bc nawapa pole mana Mm nilidhani wapo specific kutaka aina fulani ya hao watu.
Maua👉💐💐💐🌸💐💐💐💐Supper
Mbaga Jr, jee wewe unaridhika na aina ya chaguzi zinafanyika chini ya Katiba hii na sheria za sasa?Yani sign 15M za Watanzania? 😂
Hiki sio tuu kichekesho, bali ni upuuzi pia.
Labda huyu Babu yake atamsemea.Mbaga Jr, jee wewe unaridhika na aina ya chaguzi zinafanyika chini ya Katiba hii na sheria za sasa?
Sijawahi kupiga kura, sijawahi kuwa shabiki wa chama chcht kile.Mbaga Jr, jee wewe unaridhika na aina ya chaguzi zinafanyika chini ya Katiba hii na sheria za sasa?
Kupiga kura ni haki yako ya kimsingi na kikatiba, umekiri kwamba haupigi kura sababu unaona hakuna tume huru na haki, sasa ni muda wakuamka na kupambana kama mwananchi unayeona haki yako inaibiwa sio kuwaachia wanasiasa tu hili ni swala la wadau wote. Punguza malalamiko toa mchango wako kwa ajili yako na kizazi chako.Sijawahi kupiga kura, sijawahi kuwa shabiki wa chama chcht kile.
Yote hizo n kwa sababu ya upuuzi unaofanywa na tume/viongozi wakuu wa nchi ndo maana sioni haja ya Mm kupiga kura.
Kupiga kura sio haki yangu ya msingi, ndo mana sipigi kura.Kupiga kura ni haki yako ya kimsingi na kikatiba, umekiri kwamba haupigi kura sababu unaona hakuna tume huru na haki, sasa ni muda wakuamka na kupambana kama mwananchi unayeona haki yako inaibiwa sio kuwaachia wanasiasa tu hili ni swala la wadau wote. Punguza malalamiko toa mchango wako kwa ajili yako na kizazi chako.