Heche: Wazungu wanafundisha watoto namna ya kuchimba dhahabu, wako anafundishwa panzi ana miguu mingapi?

Heche: Wazungu wanafundisha watoto namna ya kuchimba dhahabu, wako anafundishwa panzi ana miguu mingapi?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.

Huyu naye akili hana tumesoma tangu primary topic ya madini na minerals sekondari,aina za uchimbaji,aina za madini,faida za madini na n.k

USSR
 
Huyu naye akili hana tumesoma tangu primary topic ya madini na minerals sekondari,aina za uchimbaji,aina za madini,faida za madini na n.k

USSR
Nakupa challenge.
Mlinganishe mtoto wa Nchi yoyote iliyoendelea duniani wa primary na hawa wa kwetu wanaokalia matofali, na walio porini wakiona gari wanakimbia na kupiga yowe wakisema nyonya damu.

Siasa inapofunika ukweli na uhalisia ndiyo chanzo cha kuwa jalala la bidhaa na soko la wataalam kuja nchini.
 
Kweli kabisa unakuja mtihani wa form four eti wamekuchelea samaki uanishe sehemu zake

Kwani Mkuu wakati unasoma hukusoma mambo ya Madini kwenye Geography (Physical Geography), na Economic and human Activities hasa kwenye mambo ya Mining Industry?
 
Kwani Mkuu wakati unasoma hukusoma mambo ya Madini kwenye Geography (Physical Geography), na Economic and human Activities hasa kwenye mambo ya Mining Industry?
Theory kwa ajili ya kujibia mtihani, lakini haikufanyi ukaingia deep in practical way kiasi cha kukufanya mbobezi kwenye eneo hilo hata vitabu vilikuwa vinaeleza juu juu tu not in detail,
 
Kwani Mkuu wakati unasoma hukusoma mambo ya Madini kwenye Geography (Physical Geography), na Economic and human Activities hasa kwenye mambo ya Mining Industry?
Taka taka kabisa..
What is Mining??!! Then.....what?!
Tena kwa Tanzania ndiyo hopeless kabisa..
Mitaala imejaa majina ya Migodi ya South Africa huko..!!
Kwa hapa kuna GGM,Barrick- nk....Mwanafunzi wa Kitanzania kuja kuutambua upo Nchini mwake ni mpaka wanapodhamini Bonanza La Ukubwa wa Dushelele au Kuhamasisha tohara ..akiona Tangazo Wasafi TV!!?
 
Heche yuko sahihi

Mitaala ya Tanzania ni ya hovyo sana
Haimuandai mtoto kuja kupambana na changamoto za maisha badala yake inamuandaa kujibu mitihani (theory ) ili apate cheti akiwa hana ujuzi wowote wa maana
Huwa nawashangaa hata ambao wanapambana kuwatoa mabinti kwenye ndoa zao eti kisa waende shule
 
Shangaa Mtaala wenyewe hauitambui Migodi iliyopo Nchini ambayo CCM wanajinasibu ni maendeleo......GGM,BGML nk.
Mtaala unajadili Migodi ya South Africa huko..sijui ndiyo nini sasa
 
Kwani Waafrika walioenda shule walau kidato cha nne. Hawafundishwi mambo ya Madini?

Je ni Wazungu wote wanafundishwa mambo ya Madini?

Au Heche analeta siasa
Heche pimbi kweli hiyo ni basic mtu kujua kama tulivyokua tukijifunza aina za madini na aina za uchimbaji wake...
 
Back
Top Bottom