Kuna vijana wanatengeneza robot. Hiyo sio kazi ngumu.
Hapana. Inatuvusha lakini haitufikishi tunapostahili.
Hakuna mtu anaepoteza muda katika kusoma. Mtu aliyesoma, akienda Veta anaweza kuutumia ujuzi atakaoupata pale tofauti na aliyeenda veta kutokea darasa la saba. Mtu huyo ataona potentials na opportunities nyingi kuliko wa darasa la saba. Ila akiona kuwa kwenda VETA ni adhabu hatafika mbali.
Sijakuelewa uliposema "ufundi kwa watu intellectual". Support zinatafutwa hata Ulaya. Kama tafiti yako ina tija, utapata support sio tu kutoka serikalini bali zaidi kutoka private sector.
Amandla...