Aisee...Panzi ana miguu mingapi ni basics za sayansi huwezi kuwa na zoologist ambaye hajui miguu ya panzi , mnabeza vitu ambavyo mnavijua teyari baada ya kufundishwa.
Naunga mkono hoja.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.
Huyu naye akili hana tumesoma tangu primary topic ya madini na minerals sekondari,aina za uchimbaji,aina za madini,faida za madini na n.kMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.
Nakupa challenge.Huyu naye akili hana tumesoma tangu primary topic ya madini na minerals sekondari,aina za uchimbaji,aina za madini,faida za madini na n.k
USSR
Kweli kabisa unakuja mtihani wa form four eti wamekuchelea samaki uanishe sehemu zake
Theory kwa ajili ya kujibia mtihani, lakini haikufanyi ukaingia deep in practical way kiasi cha kukufanya mbobezi kwenye eneo hilo hata vitabu vilikuwa vinaeleza juu juu tu not in detail,Kwani Mkuu wakati unasoma hukusoma mambo ya Madini kwenye Geography (Physical Geography), na Economic and human Activities hasa kwenye mambo ya Mining Industry?
Taka taka kabisa..Kwani Mkuu wakati unasoma hukusoma mambo ya Madini kwenye Geography (Physical Geography), na Economic and human Activities hasa kwenye mambo ya Mining Industry?
Nyie UVCCM ni watu wajinga wajinga sanaYeye anatufundisha kupiga halafu unachangiwa nyingine
Dogo The Icebreaker mtu wangu wa nguvu amecheka. Dogo anashangaaga sana ukataji mauno wa watu wake wenye mrengo wake.Kwani Waafrika walioenda shule walau kidato cha nne. Hawafundishwi mambo ya Madini?
Je ni Wazungu wote wanafundishwa mambo ya Madini?
Au Heche analeta siasa
Shangaa Mtaala wenyewe hauitambui Migodi iliyopo Nchini ambayo CCM wanajinasibu ni maendeleo......GGM,BGML nk.Heche yuko sahihi
Mitaala ya Tanzania ni ya hovyo sana
Haimuandai mtoto kuja kupambana na changamoto za maisha badala yake inamuandaa kujibu mitihani (theory ) ili apate cheti akiwa hana ujuzi wowote wa maana
Huwa nawashangaa hata ambao wanapambana kuwatoa mabinti kwenye ndoa zao eti kisa waende shule
Tukiacha ishu ya madini sisi watoto wetu wanafundishwa kitu gani cha kueleweka?Kwani Waafrika walioenda shule walau kidato cha nne. Hawafundishwi mambo ya Madini?
Je ni Wazungu wote wanafundishwa mambo ya Madini?
Au Heche analeta siasa
Siasa, kusifu na kumsubiri Mhe anapotembelea maeneo yetu.Tukiacha ishu ya madini sisi watoto wetu wanafundishwa kitu gani cha kueleweka?
Heche pimbi kweli hiyo ni basic mtu kujua kama tulivyokua tukijifunza aina za madini na aina za uchimbaji wake...Kwani Waafrika walioenda shule walau kidato cha nne. Hawafundishwi mambo ya Madini?
Je ni Wazungu wote wanafundishwa mambo ya Madini?
Au Heche analeta siasa