Ulichojifunza kinalisaidiaje Taifa lako comparing to others countries ?Heche pimbi kweli hiyo ni basic mtu kujua kama tulivyokua tukijifunza aina za madini na aina za uchimbaji wake...
Mkuu umesoma elimu ulaya lakini,tafuta vitabu vyao anza primary levelNakupa challenge.
Mlinganishe mtoto wa Nchi yoyote iliyoendelea duniani wa primary na hawa wa kwetu wanaokalia matofali, na walio porini wakiona gari wanakimbia na kupiga yowe wakisema nyonya damu.
Siasa inapofunika ukweli na uhalisia ndiyo chanzo cha kuwa jalala la bidhaa na soko la wataalam kuja nchini.
Anapotosha nini hapo mkuu wangu. ???Mkuu umesoma elimu ulaya lakini,tafuta vitabu vyao anza primary level
Amini nakuambia utafuta hayo na kuona Mh Heche anapotosha
elimu yenyewe ya kuletewa wanataka iwe sawa na waliowaleteaMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.
Shida inaanzia na mindset ya wapokeaji elimu.Anapotosha nini hapo mkuu wangu. ???
Wazungu/weupe wote wanametumia elimu kama nyenzo ya kutatua changamoto zote za maisha na maendeleo juu.
Wamesoma, wanatafiti, wanagundua, wanathamini ujuzi, wana-suport wasomi, wanazalisha na wanatukopesha.
Hiyo ndiyo elimu. Hayo makaratasi yako ya makabatini yametengeneza hata mashine tu ya njiti ya kiberiti ???? !!!!
Hapa Mh kaboronga,atawaamisha wasiojitambuaHili ndo tatizo la kupenda kupayuka na kutojua nini unaongelea
Kwani kujua idadi ya miguu ya panzi mpaka ufundishwe shuleni?Panzi ana miguu mingapi ni basics za sayansi huwezi kuwa na zoologist ambaye hajui miguu ya panzi , mnabeza vitu ambavyo mnavijua teyari baada ya kufundishwa.
Kwani vitu vyote ulivyofundishwa shuleni ulikua huvijui? Nani alikuambia shule wanafundisha vitu usivyovijua pekee?Kwani kujua idadi ya miguu ya panzi mpaka ufundishwe shuleni?
Wazungu gani wanafundisha watoto namna ya kuchimba madini? Heche anajitahidi lakini vitu vingine angekuwa anajitayarisha kabla ya kuvizungumza hadharani. Wazungu sio tu wanafundisha panzi ( kama wapo) ana miguu mingapi bali hata aina ya miti iliyopo.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.
Wanaanza utafiti kwa kuchunguza na kuhesabu miguu na mabawa ya panzi na viumbe vingine. Pamoja na kuhesabu wanatafiti anatumiaje miguu hiyo, anaishi katika maeneo gani na umuhimu wake katika eco( mazingira yanaunganishwa na faida ya kuwa na idadi ya miguu aliyokuwa nayo) system yetu. Uwezo huu wa kudadisi, kutafiti n.k. wanao anzia kwenye panzi ndio wanaotumia hapo baadae kwenye mambo ya robotics na AI.Anapotosha nini hapo mkuu wangu. ???
Wazungu/weupe wote wanametumia elimu kama nyenzo ya kutatua changamoto zote za maisha na maendeleo juu.
Wamesoma, wanatafiti, wanagundua, wanathamini ujuzi, wana-suport wasomi, wanazalisha na wanatukopesha.
Hiyo ndiyo elimu. Hayo makaratasi yako ya makabatini yametengeneza hata mashine tu ya njiti ya kiberiti ???? !!!!
Kuna tofauti ya kusoma historia yenye picha za madini na kufundishwa kuchakata madiniHuyu naye akili hana tumesoma tangu primary topic ya madini na minerals sekondari,aina za uchimbaji,aina za madini,faida za madini na n.k
USSR
Sasa utaanza kuchataka hata vitu huvijui kwa picha hujui masomo yana ngazi ,utaanza kufanya upasuaji bila kunzia kwenye michoro au akili zenu ni matopeKuna tofauti ya kusoma historia yenye picha za madini na kufundishwa kuchakata madini
Britanicca
Heche ni mwalimu kwa taaluma ila kuna wakati anajizima data kwa kuongea mambo kiushabiki utafikiri ni mtu aliye skip classes kwa sababu anajua fans wake nao ni zero brain. Chochote anachokisema wanakibeba kama kilivyo.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora yanaanza pindi Wananchi wanapoacha kujihusisha na Siasa.
Kwa ukichokiandika hapa inaonekana hauna uelewa wowote kuhusu wanachofundishwa wanafunzi wa miaka hii. Muwe mnasoma soma kabla ya kujiunga ku support ujinga wa wanasiasa.Shangaa Mtaala wenyewe hauitambui Migodi iliyopo Nchini ambayo CCM wanajinasibu ni maendeleo......GGM,BGML nk.
Mtaala unajadili Migodi ya South Africa huko..sijui ndiyo nini sasa
Nilisema mahali Heche ana ujasiri wa kuzigombeza mamlaka za serikali ila ana upungufu wa taarifa sahihi, uzuri ana audience kubwa ya watu wasiotumia vichwa vyao kufikiri yaani ni kama nyumbu, chochote wanachoambiwa wanachukulia kama facts.Wazungu gani wanafundisha watoto namna ya kuchimba madini? Heche anajitahidi lakini vitu vingine angekuwa anajitayarisha kabla ya kuvizungumza hadharani. Wazungu sio tu wanafundisha panzi ( kama wapo) ana miguu mingapi bali hata aina ya miti iliyopo.
Amandla...
Hamia huko kwa wazungu. Wakati mababu wa kizungu wanajenga mnara wa Eiffel mwaka 1905, babu yako alikuwa anafanya nini?Anapotosha nini hapo mkuu wangu. ???
Wazungu/weupe wote wanametumia elimu kama nyenzo ya kutatua changamoto zote za maisha na maendeleo juu.
Wamesoma, wanatafiti, wanagundua, wanathamini ujuzi, wana-suport wasomi, wanazalisha na wanatukopesha.
Hiyo ndiyo elimu. Hayo makaratasi yako ya makabatini yametengeneza hata mashine tu ya njiti ya kiberiti ???? !!!!
Heche kavimbiwa michango ya tonetone anaishia kuropoka.Kwani Waafrika walioenda shule walau kidato cha nne. Hawafundishwi mambo ya Madini?
Je ni Wazungu wote wanafundishwa mambo ya Madini?
Au Heche analeta siasa