Uchaguzi 2020 Hedaru: Dkt. Magufuli amuagiza katibu mkuu TAMISEMI apeleke milioni 100 kukarabati kituo cha afya

Kwani mbunge wa hapo Hedarru ni CCM au upinzani? Inaelekea naye hakuwa "anawasumbua" mawaziri kulete maendeleo! Hah haha hah1
 
Huyu ni Rais gani asiyejua sheria za uchaguzi? NEC mpo wapi? Wewe Mahera una uwezo kweli wa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mkuu!?!

Huyu Mkuregenzi NEC ukimwangalia tu unaona hatoshi.. ..!!Kazi ni kukenyua mimeno kangiri vile.. !!!

Pambaf kabsaa!
 
Kwani zilikuwa budgeted au ndo style Ile Ile ya matumizi holela
 
Muongo huyo
 
Anawahadaa wapiga kura, miaka mitano hakufanya kitu leo anatudanganya
 
Kwani zilikuwa budgeted au ndo style Ile Ile ya matumizi holela
Afanye afanyavyo kaishachelewa.
Staili hizi za maigizo wanazotumiaga madikteta zimeishachokwa.
HATA wachumia tumbo 'wake' hawatoweza kumuokoa.
TUNATAKA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
AMEN
 

Tume kimyaaa! takukuru kimyaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…