'HEDEX" imepigwa marufuku TZ?

'HEDEX" imepigwa marufuku TZ?

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Wakuu,
Kuna hii dawa ya maumivu inaitwa HEDEX, imeadimika sana madukani.
Wauzaji wanadai imepigwa marufuku na TFDA, lakini sijaona tangazo lolote wala kusikia kwenye vyombo vya habari?

Kuna mtu ana taarifa rasmi? Mbona 'contents' za HEDEX zinashabihiana na za DAWA TATU, je hiyo ban ni kwa HEDEX tuu?
 
There are many painkillers manufactured by Tanzanian pharmaceuticals that qualify. Hakuna haja ya kuagiza dawa hizo toka nje!
 
Back
Top Bottom