Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Wakuu,
Kuna hii dawa ya maumivu inaitwa HEDEX, imeadimika sana madukani.
Wauzaji wanadai imepigwa marufuku na TFDA, lakini sijaona tangazo lolote wala kusikia kwenye vyombo vya habari?
Kuna mtu ana taarifa rasmi? Mbona 'contents' za HEDEX zinashabihiana na za DAWA TATU, je hiyo ban ni kwa HEDEX tuu?