Heeee!!!!Mchuma wako analiwa denda!!!!

Heeee!!!!Mchuma wako analiwa denda!!!!

eeeeheeeeh naona katika hili vijeba a.k.a wababe mnakuja juuu ile mbaya ila nyie kutoka nje ya ndo mnashabikia sana,
by da way acha wadada wafanye vituko.......maana kizazi cha kuoa kilisha kufa kikatoweka kabisa duniani.

na kizaz cha kuoa KIMEKUFA KABISA APA DUNIAN
 
pete unaivaa mwenyewe.unaendelea nae unamtia mimba hlf unamwachia.prob solved
:nono::nono::nono::nono::nono:
Ndugu yangu sijui mimba unaichukuliaje kwa mtazamo wako hadi unafanya ni njia sahihi ya kumkomoa msichana wako. Nijuavyo mimi mimba si kitu cha kuchezea unavyofikiria, tambua hapa unazungumzia mtoto wako(DAMU YAKO). NAONA MWENZETU UNAWAFURAHIA WATOTO WA MITAANI WANAVYOPATA SHIDA, HEBU FIKIRIA KAMA BABA YAKO ANGEKUFANYA FIMBO YA KUMUADHIBU MPENZI WAKE WA ZAMANI UNGEJISIKIAJE LEO UKIHADITHIWA.

Naamini ukiwa mmoja wa WANAJF wewe ni mtu mwelewa, msomi. lakini nasikitika kuwa pamoja na uelewa wako unapost kitu kama hiki SHAME ON YOU.
 
Back
Top Bottom