Hehehe kwa style hii hawa magavana wetu sioni tukienda mbali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809

The photo emerged during the council of governors summit in Kwale county which started on Thursday, December 14 and is expected to end on Saturday, December 16. Being the only female in the photo, the male governors could not help but stare at the controversial governor's curvaceous body.

Waiguru was elected the Vice-chairperson of the Council of Governors following the two day retreat by the governors and President Uhuru Kenyatta at Diani in Kwale county. Read more: Viral photo of Anne Waiguru having literally confused male governors emerge
 
Picture of her behind plz.
 
Oparanya ni fisi, He clearly stands out.
 
Duh wanaweza hata wakamuhonga hiyo county.

Inamaana Kenya hawana special seats za governors kama Tanzania.
 
Special seats yani hizo Mkuu?
Special seats for women to make 50:50 kwa men and women in decisions making.

Sababu inaonekana huyo mwanamke yupo pekee yake hapo special seats ni wanawake wanaoteuliwa kuongeza idadi ya wanawake kwenye council au bungeni
 
Special seats for women to make 50:50 kwa men and women in decisions making.
They are trying to though ni kama huku wanawake inawabidi wapambane na wanaume kipata viti vya ubunge na ugavana ingiwa kuna special non performing seats za women rep.
 
Duh wanaweza hata wakamuhonga hiyo county.

Inamaana Kenya hawana special seats za governors kama Tanzania.

Tangu lini Tanzania mkawa na governors, do you even know the meaning of that word.
 
nadhani alitaka kumainisha special seats za wabunge wanawake au walemavu au vyoyote vile ambacho rais itampendeza.
kwa hivyo inamaana kuwa maghufuli anawateuwa anaowapenda?? ldc kuna mambo!
 
kwa hivyo inamaana kuwa maghufuli anawateuwa anaowapenda?? ldc kuna mambo!
unaifahamu vizuri katiba ya tz?.....watu wa middle economy mna ujinga sana haki.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB:
learned brother petrol E. Mselewa ukipata nafasi pita hapa umfafanulie huyu kilaza wa kikenya kuhusu wabunge wa kuteuliwa na rais na mchakato wake ulivyo.
 
unaifahamu vizuri katiba ya tz?.....watu wa middle economy mna ujinga sana haki.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
si hitaji kuielewa katiba ya ldc. maneno yako mwenyewe umesema rais anawateuwa walemavu/wanawake vile ambavyo inampendeza!
 
si hitaji kuielewa katiba ya ldc. maneno yako mwenyewe umesema rais anawateuwa walemavu/wanawake vile ambavyo inampendeza!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
learned brother petrol E. Mselewa ukipata nafasi pita hapa umfafanulie huyu kilaza wa kikenya kuhusu wabunge wa kuteuliwa na rais na mchakato wake ulivyo.
 
Mbona Mwanamke mwenyewe chibonge halafu kazeeka?
 
nadhani alitaka kumainisha special seats za wabunge wanawake au walemavu au vyoyote vile ambavyo rais itampendeza.

Wabunge wa kuteuliwa tunao, ambao huteuliwa ili kuwakilisha walemavu na wengineo, pia tuna viti vya kina mama vinaitwa Women representatives, ambavyo wanaume hawaruhusiwi kuwania.

Lakini magavana ni marais wa kaunti, majukumu yao ni kubaki kwenye kaunti wakiongoza shughuli za huko kama marais, hamna jinsi tunaweza kuwabeba wanawake hapo, lazima wapambane wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…