pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mungu ni mwema mkuu. Siku nyingi hujaonekana ukitema povu huku, bila mchezo kama ilivo kawaida yako jombaa. Hehe. 😀Huku salama kabisa kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema mkuu. Siku nyingi hujaonekana ukitema povu huku, bila mchezo kama ilivo kawaida yako jombaa. Hehe. 😀Huku salama kabisa kaka
Nsije waongezea stress tu .Mungu ni mwema mkuu. Siku nyingi hujaonekana ukitema povu huku, bila mchezo kama ilivo kawaida yako jombaa. Hehe. 😀
Umejuaje kama mtu Akiwa na mapungufu ya nguvu za kiume Hana chochote? Yawezekana ukawa una tatizo hilo.Tatizo ukiwa na mapungufu ya nguvu za kiume huwezi kuona chochote kizuri kwa mwanamke, unaanza vijisababu vya kulaumu unene, mara kazeeka mara hiki mara kile mara miguu mara mikono.