Hehehe kwa style hii hawa magavana wetu sioni tukienda mbali

Mbona Mwanamke mwenyewe chibonge halafu kazeeka?

Tatizo ukiwa na mapungufu ya nguvu za kiume huwezi kuona chochote kizuri kwa mwanamke, unaanza vijisababu vya kulaumu unene, mara kazeeka mara hiki mara kile mara miguu mara mikono.
 
kwa mtazamo wako wewe, mhe waiguru tu ndio mwanamke mrembo Kenya??
huoni vile mijizee "yenyu" migavana inavyo mkodolea mimacho?.[emoji23] [emoji23]

yes,to you/them she could be the only beautiful woman in kenya(according to my experience).
 
huoni ili mijizee "yenyu" migavana inavyo mkodolea mimacho?.[emoji23] [emoji23]

yes,to you/them she could be the only beautiful woman in kenya(according to my experience).
Hahahaha... vipi mama yangu kwa urembo babaa?
 
Kuna jamaa anaitwa chebukati sijui ni nani katika serikali ya Kenya ila namkubali tu
 
Huyu hapa chebukati wako, tumemdaka kwenye fumanizi moja hatari sana hapa mjini.
FB_IMG_1512926708881.jpg
 
Tatizo ukiwa na mapungufu ya nguvu za kiume huwezi kuona chochote kizuri kwa mwanamke, unaanza vijisababu vya kulaumu unene, mara kazeeka mara hiki mara kile mara miguu mara mikono.
Kuna jamaa yangu mmoja hao vibonge ndo type yake!
 
Back
Top Bottom