Hehehe kwa style hii hawa magavana wetu sioni tukienda mbali

Tatizo ukiwa na mapungufu ya nguvu za kiume huwezi kuona chochote kizuri kwa mwanamke, unaanza vijisababu vya kulaumu unene, mara kazeeka mara hiki mara kile mara miguu mara mikono.
Umejuaje kama mtu Akiwa na mapungufu ya nguvu za kiume Hana chochote? Yawezekana ukawa una tatizo hilo.
 
Umejuaje kama mtu Akiwa na mapungufu ya nguvu za kiume Hana chochote? Yawezekana ukawa una tatizo hilo.

Sizitaki mbichi hizi.... kafanye utafiti wa huu msemo, hapo utajua kwanini mna hulka ya kuwaponda wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…