Hii ukifika popote Kenya kwenye jamii isiyokuwa na uwezo wa kupata Elimu na habari utaiona.Even in Nairobi wapo watu wa namna hiiKuna hii channel huwa kwenye Youtube inaitwa Bamba live, jamaa huzunguka mitaani Bongo akiuliza uliza maswali ya kawaida, yaani majibu ambayo huwatoka Watanzania yanachekesha hadi unahisi wengi wao wanafaa kuwa kule Mirembe wakipata matibabu ya akili.
Eti Afrika ni nchi ambayo iko ndani ya Tanzania, mara Diamond Platinum aliimba wimbo wa taifa mwaka wa 1960, mwengine eti nchi ya Kenya iko Tanga.
Ni wazi wanasiasa wa Tanzania hutumia hili la Watanzania kutokujua mambo kama mtaji wa kisiasa, maana kwa hali hii, itachukua muda sana kwa watu kuwa kwenye level ya kuhoji chochote.
Umetaja KQ nikakumbuka Newyork daily routes, vipi mnaruka Kesho? Mogadishu napo vipi? πππHehehe bila kusahau KQ kawanyanganya ndege, Wakenya ni Nyang'au, Nairobi ni London, Bagamoyo ishakamilika, SGR Tz ipo 40% kukamilishwa(10% complete kwa uhakika), Tanzania Nchi "tajiri''.
Hii ukifika popote Kenya kwenye jamii isiyokuwa na uwezo wa kupata Elimu na habari utaiona.Even in Nairobi wapo watu wa namna hii
Hili lipo hadi Kenya Mk.Kuna hii channel huwa kwenye Youtube inaitwa Bamba live, jamaa huzunguka mitaani Bongo akiuliza uliza maswali ya kawaida, yaani majibu ambayo huwatoka Watanzania yanachekesha hadi unahisi wengi wao wanafaa kuwa kule Mirembe wakipata matibabu ya akili.
Eti Afrika ni nchi ambayo iko ndani ya Tanzania, mara Diamond Platinum aliimba wimbo wa taifa mwaka wa 1960, mwengine eti nchi ya Kenya iko Tanga.
Ni wazi wanasiasa wa Tanzania hutumia hili la Watanzania kutokujua mambo kama mtaji wa kisiasa, maana kwa hali hii, itachukua muda sana kwa watu kuwa kwenye level ya kuhoji chochote.
Hili lipo hadi Kenya Mk.
Nimeliona hadi kwa wanaharakati wenu na wanasiasa wakubwa makatibu wakuu wa vyama kabisa.
Nadhani ndiyo maana kuna vurugu mara kwa mara kenya..uelewa wa baadhi ya wanasiasa sio mzuri. Na unajua uelewa ukiwa mdogo nguvu hutumika zaidi.
Niko poa, N.Hey you, how's you?
Hebu waambie hawa..
.....na Ghadafi alikuwa rais wa Yemen. Hahaa! πpingli-nywee Jirani mji mkuu wa Nai ni Kisuu..
So what?!
Say something Jirani, jst say something...LOL
Hili lipo hadi Kenya Mk.
Nimeliona hadi kwa wanaharakati wenu na wanasiasa wakubwa makatibu wakuu wa vyama kabisa.
Nadhani ndiyo maana kuna vurugu mara kwa mara kenya..uelewa wa baadhi ya wanasiasa sio mzuri. Na unajua uelewa ukiwa mdogo nguvu hutumika zaidi.
KQ ilifika Marekani tena direct je ATCL ilifika Mumbai? si mlisema zinaanza January Baada ya kutudanganya tangu September mwaka jana.Umetaja KQ nikakumbuka Newyork daily routes, vipi mnaruka Kesho? Mogadishu napo vipi? πππ
Hivi mmerufisha hata pesa ya promo mliofanya kweli? Nakumleta kote Quest lakini bado ngoma imebuma Dah inasikitisha, mlikua mnaenda Newyork na watu 10 mnarudi na wa5 πππKQ ilifika Marekani tena direct je ATCL ilifika Mumbai? si mlisema zinaanza January Baada ya kutudanganya tangu September mwaka jana.
Direct flights sio za KQ peke yake bali hata ATCL pia though aioni kama inawezana kama hata Mumbai imewashinda. ATCL ishahawi toka East Africa?? ππHivi mmerufisha hata pesa ya promo mliofanya kweli? Nakumleta kote Quest lakini bado ngoma imebuma Dah inasikitisha, mlikua mnaenda Newyork na watu 10 mnarudi na wa5 πππ
Lile povu lote lakini mmezima ziiii
Hivi mmerufisha hata pesa ya promo mliofanya kweli? Nakumleta kote Quest lakini bado ngoma imebuma Dah inasikitisha, mlikua mnaenda Newyork na watu 10 mnarudi na wa5 πππ
Lile povu lote lakini mmezima ziiii
Direct flights sio za KQ peke yake bali hata ATCL pia though aioni kama inawezana kama hata Mumbai imewashinda. ATCL ishahawi toka East Africa?? ππHivi mmerufisha hata pesa ya promo mliofanya kweli? Nakumleta kote Quest lakini bado ngoma imebuma Dah inasikitisha, mlikua mnaenda Newyork na watu 10 mnarudi na wa5 πππ
Lile povu lote lakini mmezima ziiii
Sisi tumafanya final touches, tunaanza kuruka Mumbai muda si muda, waulize wanaishi Tanzania, tayari billboards za kumarket New route zimeanza, sisi hatutaki mkurupuko kama wenu ndio maana mambo yetu tunaweka umakini wa hali ya juu, so far KQ expecting to hit $300 million loss at the first quarter of this year, what a promising move ππ at least not $1 billionDirect flights sio za KQ peke yake bali hata ATCL pia though aioni kama inawezana kama hata Mumbai imewashinda. ATCL ishahawi toka East Africa?? ππ