Hehehe!! Watanzania kituko, majibu ya kiajabu ajabu, kutokujua mambo ndio mtaji wa wanasiasa kwao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna hii channel huwa kwenye Youtube inaitwa Bamba live, jamaa huzunguka mitaani Bongo akiuliza uliza maswali ya kawaida, yaani majibu ambayo huwatoka Watanzania yanachekesha hadi unahisi wengi wao wanafaa kuwa kule Mirembe wakipata matibabu ya akili.
Eti Afrika ni nchi ambayo iko ndani ya Tanzania, mara Diamond Platinum aliimba wimbo wa taifa mwaka wa 1960, mwengine eti nchi ya Kenya iko Tanga.
Ni wazi wanasiasa wa Tanzania hutumia hili la Watanzania kutokujua mambo kama mtaji wa kisiasa, maana kwa hali hii, itachukua muda sana kwa watu kuwa kwenye level ya kuhoji chochote.

Hehehe bila kusahau KQ kawanyanganya ndege, Wakenya ni Nyang'au, Nairobi ni London, Bagamoyo ishakamilika, SGR Tz ipo 40% kukamilishwa(10% complete kwa uhakika), Tanzania Nchi "tajiri''.
 
Kuna hii channel huwa kwenye Youtube inaitwa Bamba live, jamaa huzunguka mitaani Bongo akiuliza uliza maswali ya kawaida, yaani majibu ambayo huwatoka Watanzania yanachekesha hadi unahisi wengi wao wanafaa kuwa kule Mirembe wakipata matibabu ya akili.
Eti Afrika ni nchi ambayo iko ndani ya Tanzania, mara Diamond Platinum aliimba wimbo wa taifa mwaka wa 1960, mwengine eti nchi ya Kenya iko Tanga.
Ni wazi wanasiasa wa Tanzania hutumia hili la Watanzania kutokujua mambo kama mtaji wa kisiasa, maana kwa hali hii, itachukua muda sana kwa watu kuwa kwenye level ya kuhoji chochote.

Hii ukifika popote Kenya kwenye jamii isiyokuwa na uwezo wa kupata Elimu na habari utaiona.Even in Nairobi wapo watu wa namna hii
 
Hehehe Kenya wapo lakini si uzwazwa wa kiasi hiki......eti mtu anasema Kwangwaru ndio wimbo wa taifa wa Tanzania.
 
Kuna hii channel huwa kwenye Youtube inaitwa Bamba live, jamaa huzunguka mitaani Bongo akiuliza uliza maswali ya kawaida, yaani majibu ambayo huwatoka Watanzania yanachekesha hadi unahisi wengi wao wanafaa kuwa kule Mirembe wakipata matibabu ya akili.
Eti Afrika ni nchi ambayo iko ndani ya Tanzania, mara Diamond Platinum aliimba wimbo wa taifa mwaka wa 1960, mwengine eti nchi ya Kenya iko Tanga.
Ni wazi wanasiasa wa Tanzania hutumia hili la Watanzania kutokujua mambo kama mtaji wa kisiasa, maana kwa hali hii, itachukua muda sana kwa watu kuwa kwenye level ya kuhoji chochote.

Hili lipo hadi Kenya Mk.

Nimeliona hadi kwa wanaharakati wenu na wanasiasa wakubwa makatibu wakuu wa vyama kabisa.

Nadhani ndiyo maana kuna vurugu mara kwa mara kenya..uelewa wa baadhi ya wanasiasa sio mzuri. Na unajua uelewa ukiwa mdogo nguvu hutumika zaidi.
 
Hey you, how's you?
Hebu waambie hawa..
 
Hili lipo hadi Kenya Mk.

Nimeliona hadi kwa wanaharakati wenu na wanasiasa wakubwa makatibu wakuu wa vyama kabisa.

Nadhani ndiyo maana kuna vurugu mara kwa mara kenya..uelewa wa baadhi ya wanasiasa sio mzuri. Na unajua uelewa ukiwa mdogo nguvu hutumika zaidi.

Bro...hili lipo Kenya na hata Marekani, yaani ignorance ni jambo la kawaida kwa kila jamii, lakini kwenu mumetisha, nitashangaa sana Mkenya ambaye hajui wimbo wetu wa taifa na kudai umetungwa na msanii wa kisasa. Eti wimbo wa taifa wa Tanzania ni kwangwaruu, au labda kwenu hamna somo la uzalendo. Halafu hao wanaoboronga naona wapo mjini kabisa, yaani Dar...ningeelewa kama ni watu wa vijijini.
Yaani wajinga tupo wengi lakini kiwango cha ujinga kinatofautiana, ni hatari sana kwa nchi kuwa na idadi kubwa ya watu wasiokua na ufahamu wa mambo ya kawaida, yaani general knowledge.
 
Umetaja KQ nikakumbuka Newyork daily routes, vipi mnaruka Kesho? Mogadishu napo vipi? 😂😂😂
KQ ilifika Marekani tena direct je ATCL ilifika Mumbai? si mlisema zinaanza January Baada ya kutudanganya tangu September mwaka jana.
 
Hivi mmerufisha hata pesa ya promo mliofanya kweli? Nakumleta kote Quest lakini bado ngoma imebuma Dah inasikitisha, mlikua mnaenda Newyork na watu 10 mnarudi na wa5 😂😂😂

Lile povu lote lakini mmezima ziiii
 
Direct flights sio za KQ peke yake bali hata ATCL pia though aioni kama inawezana kama hata Mumbai imewashinda. ATCL ishahawi toka East Africa?? 😀😀
 
Sisi tumafanya final touches, tunaanza kuruka Mumbai muda si muda, waulize wanaishi Tanzania, tayari billboards za kumarket New route zimeanza, sisi hatutaki mkurupuko kama wenu ndio maana mambo yetu tunaweka umakini wa hali ya juu, so far KQ expecting to hit $300 million loss at the first quarter of this year, what a promising move 😂😂 at least not $1 billion
 
Back
Top Bottom