Heka heka ya clouds

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Jamani sikilizeni heka heka ya clouds saiv kuna story ya kusikitisha!
 
funguka sio wote tunaangalia huko...
 
Tuambie wengine hatuna axex na kilausz right now ebu tusimulie!
 
Ngoja nimalize kusikiza ntawasimulia wakuu!
 
Ila kule Uchagani mpaka Binti akuvulie kazi lazima UTUMIE NGUVU hata kama ni mara ya tatu au ya nne.
 
radio ya waf...............................................tu
 
kitu kama hicho sio cha kuleta kwenye radio unless kuna solid evidence kama huyo mtu kweli alimbaka... clouds wanaweza wakapelekwa mahakamani hivi hivi kwa kumchafulia mtu jina lake
 
Ritchie Ritchie ndio nani?


Ni Muigizaji/Mcheza Film wa bongo movie enzi hizo alikua Nyota Ensemble, 44U na kina Bishanga,Monalisa,Waridi etc Sasa Ni Producer/Director na Pia Actor,moja ya Movie yake kali inaitwa swahiba alicheza na Rose Ndauka na JB.
 
Wakuu ni kwamba kuna dada mmoja ni msanii chipukizi alibakwa! issue ilikuwa hivi kwa mijibu wa huyo dada "alipigiwa simu kuwa Rich anataka wasanii ili wakafanye shouting, basi wakapanga appointment ya kuonana.. wakaonana maeneo ya Ilala alipofika hapo alifatwa na vijana wa2 waliojitambulisha kuwa wametumwa na yule aliyekuwa akiongea naye. basi wakamchukua wakampeleka kwa yule kaka alipofika yule mkaka akambadilikia na kuanza kumtaka kimapenzi ila yule dada akawa anakataa baada ya kuwa amekataa yule mkaka akamlazimisha mpaka akambaka nyuma na mbele..... Story ndo hiyo iliyokuwa heka heka SO WADA TUJIHADHARI NA URAFIKI WA JINSIA TOFAUTI. hasa kutembeleana mahali panapoweza kushawishi vitendo vya ngono
 
dah walitumia condomu hata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…