CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Jamani sikilizeni heka heka ya clouds saiv kuna story ya kusikitisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani sikilizeni heka heka ya clouds saiv kuna story ya kusikitisha!
Nani alibakwa na Rich Richy?
Hapana alibakwa na Jamaa ambaye alikuwa ametumwa na Ritchie Ritchie.
Ngoja nimalize kusikiza ntawasimulia wakuu!
Ritchie Ritchie ndio nani?
Ritchie Ritchie ndio nani?
dah walitumia condomu hata?Wakuu ni kwamba kuna dada mmoja ni msanii chipukizi alibakwa! issue ilikuwa hivi kwa mijibu wa huyo dada "alipigiwa simu kuwa Rich anataka wasanii ili wakafanye shouting, basi wakapanga appointment ya kuonana.. wakaonana maeneo ya Ilala alipofika hapo alifatwa na vijana wa2 waliojitambulisha kuwa wametumwa na yule aliyekuwa akiongea naye. basi wakamchukua wakampeleka kwa yule kaka alipofika yule mkaka akambadilikia na kuanza kumtaka kimapenzi ila yule dada akawa anakataa baada ya kuwa amekataa yule mkaka akamlazimisha mpaka akambaka nyuma na mbele..... Story ndo hiyo iliyokuwa heka heka SO WADA TUJIHADHARI NA URAFIKI WA JINSIA TOFAUTI. hasa kutembeleana mahali panapoweza kushawishi vitendo vya ngono