ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina na mfuko/mastar wengine wapo hoi wanaishi kama milupo/ usione mtu ana ng'aa ukadhani ana chapaa time yoyote anadondoka usikie kafa na njaa/ wakikujua ni star bei ya vitu upada/watu wanakuripua tu hata bei ya zada/ ukimaliza show vicheche wako mlangoni na ukija kushtuka huna kitu mfukoni...
"Heka heka za ⭐ professor jay
UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202