Heka heka za star

Heka heka za star

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
images-8.jpg

Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina na mfuko/mastar wengine wapo hoi wanaishi kama milupo/ usione mtu ana ng'aa ukadhani ana chapaa time yoyote anadondoka usikie kafa na njaa/ wakikujua ni star bei ya vitu upada/watu wanakuripua tu hata bei ya zada/ ukimaliza show vicheche wako mlangoni na ukija kushtuka huna kitu mfukoni...

"Heka heka za ⭐ professor jay

UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202
 
View attachment 3097987Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina na mfuko/mastar wengine wapo hoi wanaishi kama milupo/ usione mtu ana ng'aa ukadhani ana chapaa time yoyote anadondoka usikie kafa na njaa/ wakikujua ni star bei ya vitu upada/watu wanakuripua tu hata bei ya zada/ ukimaliza show vicheche wako mlangoni na ukija kushtuka huna kitu mfukoni...

"Heka heka za ⭐ professor jay

UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202
Ni shida kwa kweli 😂😅
 
Ni shida kwa kweli 😂
 
Back
Top Bottom