Kweli wewe unawafahamu watu wa hukuMsalimie Mabula na Chale hapo Itumbi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe unawafahamu watu wa hukuMsalimie Mabula na Chale hapo Itumbi.
Daaah kitambo sana nimekuwepo hapo. Nilikuja na Sasebosa.Kweli wewe unawafahamu watu wa huku
Sahihi kabisa Kwa mfano kungekuwaga na magari yenye huduma zote za kitabibu unapiga Hela vibaya.
Mkuu ukiotea chimbo limewaka Hela Huwa ni Nje Nje kama utaniInaonekana machimboni kuna fursa nyingi sana kama huduma za Afya, bar, chakula, ulinzi, sehemu ya kulala.
Nilikuwepo jmos tu mkuu. Hapo saivi pamedorola kiaina.Mbona Bulyambata . Hapa katikati ya Ikina na Nyarugusu jirani na Nyaruyeye hupataji?.
Balaaa lake kwenye mawe umeliona.
Hakika Kuna chimbo moja nilifika, siku kadhaa Kuna duara ikafukia watu aiseeeeh ilipulizwa filimbi watu wakafika chap Tena wako shap haswaWanaumoja sana utafikiri wote wametoka sehemu Moja mwenzao akifa au kupata ajari watajichanga chap mno huku wakitafuta ndg zake Kwa gharama yoyote ile.
Ndo uzuri wa kule wewe hata huna ramani ukifika kule jichangamye na Wana tu kama kuelewa utalewa na kama una nguvu kazi hukoswi hata ya kuponda hayo mawe wanayochimbaHakika Kuna chimbo moja nilifika, siku kadhaa Kuna duara ikafukia watu aiseeeeh ilipulizwa filimbi watu wakafika chap Tena wako shap haswa
Kule kwenye mawe usipokuwa mwenyeji Los ni ya kufikia tu.Ukimruhusu mkeo (girlfriend wako) kwenda kupiga mishe machimboni iwe ,(mamalishe,mpesa,biashara).tambua inaenda kua chakula ya machimboni.
Nakumbuka kuna manzi,ilikuja kununua mawe ya dhahabu(semekana),kama mtaji wa m3.
Alipo peleka kusaga akaambulia laki4.kesho yake akamilikiwa na mchimbaji.kwani mtaji umekatika akifikilia kula kulala vyote vinahitaji pesa.alisahau alipo fika watu walimtongoza alikuwa anajibu(jeuri) ye ni mke wa mtu.
Nipe connection mkuu nikajilipue na mmKule kwenye mawe usipokuwa mwenyeji Los ni ya kufikia tu.
Halafu huko wake za watu sidhani hata 3% inafika. Hata kama una maisha magumu Kaisi Gani mke wako usimruhusu aende huko chimbo ataliwa tu akiwa mgumu anabakwa kabisa
Mkuu huku njoo na mtaji kidogo tu kwanza uzoee Hali ya huku bara kwanza. Inshort ukwasi upo huko machimboni inategemea unajikita kwenye biashara Gani.Nipe connection mkuu nikajilipue na mm
Sola panel sio?Mkuu huku njoo na mtaji kidogo tu kwanza uzoee Hali ya huku bara kwanza. Inshort ukwasi upo huko machimboni inategemea unajikita kwenye biashara Gani.
Ukiwa na sola panel kubwa utachaji sana simu sana.
Mimi Kwa sasa sipo huko mkuu ila Huwa likitokea Huwa naenda maana najua Kuna Hela za chap chap kule
Sasa wewe unaongelea Itumbi ambapo kuna mpaka makampuni ya uchimbaji kama Apex Resources. Wenzako wanaongelea sehemu za uchimbaji mdogo ukisikia "Kuna mlio" watu shazi, mwenye fonka, mwenye koleo, mwenye nyundo wanakutana eneo paliporipuka.Itumbi center kuna lodge za hadi 50k , na za 3k zipo
Eee iwe nayo kubwa tu. Kuchaji ni jero mkuu hakuna masiahara.Sola panel sio?
Kabisa ukiweza kujichanganya unapata unafuu was maishaNdo uzuri wa kule wewe hata huna ramani ukifika kule jichangamye na Wana tu kama kuelewa utalewa na kama una nguvu kazi hukoswi hata ya kuponda hayo mawe wanayochimba