Hekaheka Uzeeni

Sawa baba ww tililika tu mkuu ila Kama utakuwa connection na bisou nipe niwe namtolea mzigo bandarini mm ni CFS agent
 
Mzee umenikumbusha safari zangu nyongi za Rwanda na Goma na upande wote wa Mashariki ya Congo...
 
Ongezea nyama kidogo mkuu
Mkuu tatizo muda sasa, ila umetaja maeneo yote muhimu na vituko vya Goma,
Nikishapata kashkash siku moja ya Mungu, kulikuwa na maandamano zilirindilma risasi mpaka nikakimbilia Gisenyi....
Kuna siku nyingi kukoswa kutekwa vijijini huko.....
 
Mkuu tatizo muda sasa, ila umetaja maeneo yote muhimu na vituko vya Goma,
Nikishapata kashkash siku moja ya Mungu, kulikuwa na maandamano zilirindilma risasi mpaka nikakimbilia Gisenyi....
Kuna siku nyingi kukoswa kutekwa vijijini huko.....
Yani kuna tofauti kubwa sana mtu unaiona ukitoka Gisenyi na kuingia Goma

Katika simulizi hii natamani wenye uwezo waone fursa iliyopo Goma, muhimu ni tahadhali tu, unaweza kufanya biashara Goma na kuwa unalala Gisenyi kila siku.
 
Picha ni kwa hisani ya google, hazina uhusiano wa moja kwa moja na simulizi wala majina katika hizo picha si yenyewe.
Nilipomaliza Season 1 nilitaka kuacha maana Comments za wafuatiliaji wenzangu mara nyingi huwa sisomi kwa sababu huwa wanaleta mambo yao binafsi, Kumbe umeendelea hapa hapa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Mercii ya Nyoko [emoji3][emoji3][emoji3] imenikumbusha rafiki mmoja wa kike, Kila akikasirika jibu lake huwa hivyo, Kwa mfano ukamsalimu "Hello babe mambo!?" Utajibiwa," babe ya nyoko" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Naamini Season II nitajua Uhusiano na Jane uliendeleaje! Kimapenzi na kibiashara hasa wale kaka zake wavivu.
 
Yani kuna tofauti kubwa sana mtu unaiona ukitoka Gisenyi na kuingia Goma
First namaliza harakati za migration Rwanda na kuingia upande wa DRC, Goma, dah, dunia 2 tofauti sana...

Utapenda ukiwa asbh kati ya 12 asbh hadi saa 9 asbh,pale boda ni gari za wafanyabiashara na wafanyakazi waserikali wa Goma wanaishi Gisenyi... maana sheria inawataka wasikae zaidi ya 80kms baada ya boda...
 
Hahahahahha

Siku ile ilibidi niwe mpole!
 
Ahsante kwa picha, ahsante kwa usimulizi mzuri kabisa na si “kuyanza” ni “Kunyaza” mkuu hii ni teknolojia bora kabisa waliyogundua wenzetu wa Rwanda 🇷🇼.

Uwa zuri pita story hii upate kuburudika🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…