Hekaheka Uzeeni

Hekaheka Uzeeni

Mimi naomba unielekeze iyo aina ya katerero mpya uliyokutana nayo huko kunyanza...tumia hata lugha nyepesi
 
(iii). Fumanizi ndani ya Jiji la Dar es Salaam.

Kwanza kabisa, nikutoe hofu ndugu msomaji, haikuwa fumanizi ile watu waijuayo, bali ni kitendo tu cha Janeth na Bosio kwa pamoja kukutana na Hamida nyumbani Tanzania na kulala nyumba moja. Tunaweza kusema ni ‘re-union’ fulani hivi isiyo rasmi ambayo haikutarajiwa na Janeth wala Bosio. Ni hekeheka tu uzeeni.
===

Baada ya mpaka wa Rusumo kufunguliwa na mabasi kuanza kufanya kazi kutoka Kigali kuja Tanzania, Janeth alifanya safari ya kuja Dar es Salaam, nilimkaribisha nyumbani yeye na kaka yake hivyo safari hii hakufikia hotelini. Niliwasaidia kuwaonesha ‘machimbo’ ya nguo maridani kutoka Uturuki na Thailand, hivyo safari hii hakupata shida kuzunguka kwenye maduka kama ilivyokuwa kwa safari zake tatu huko nyuma. Alinishukuru kwa kumpunguzia adha ya jua kali la Dar kwa kufupisha sehemu za manunuzi na kwa bei nzuri. Kaka yake (doto) pia alipata uzoefu wa jiji la Dar kwani ilikuwa mara yake ya kwanza kuja Dar ingawaje Uganda na Kenya alishafika.

Kwakuwa taarifa tulikuwa nayo kabla, tulikubaliana na Hamida kuwa afikie nyumbani angalau kuonesha fadhila walizo nikarimu kipindi kile cha ‘curfew’ na ‘lockdown’ jijini Kigali. Nyumba yangu si kubwa sana, vyumba vinne lakini ina uwanja mkubwa uliozungushiwa uzio ambapo wajukuu wakija hufurahia matunda kwenye miti hususani mapera ingawaje matunda mengine yapo na bustani iliyopo kufanya hali ya hewa humo uzioni kuwa nzuri yenye upepo mwanana licha ya joto kali la Dar. Kila chumba kina bafu na choo chake lakini chumba changu na Hamida ndio kimependelewa zaidi kwa ukubwa na muundo pia. Hivyo hatukuwa na wasiwasi juu ya nafasi ya wageni kufikia hapo nyumbani maana kwa sasa tupo mimi, mke wangu, dada msaidizi wa kazi za nyumbani na kaka msaidizi wa kazi za nje ikiwemo bustani pamoja na wajukuu wawili kutoka kwa Jason Jr.

Nje kuna kijumba cha wahudumu chenye chumba na sebule na chumba kimoja na stoo ndogo. Tulipanga kwamba kaka wa kazi atabaki kulala kwenye nyumba yake hiyo, dada wa kazi atalala chumbani kwake na watoto wa Jason Jr maana wote ni wa kike, Janeth na kaka yake watalala vyumba vilivyobakia.
===

Ilikuwa furaha isiyo kifani kwa familia ya Janeth kuona yeye na kaka yake wamefika salama na kupokelewa kwenye familia yangu. Tuliwasiliana kwa video call na kuongea na Kigali kwa muda mrefu ambapo muda wote ulikuwa ni furaha.

‘Shopping’ ilifanyika siku moja tu na mzigo ukawa umetosha kwa hela alizokujanazo. Nikamshauri safari hii asisafiri yeye pamoja na mizigo yake badala yake tuipakie kwenye malori yaendayo Kigali ambapo angeipokelea kule Magerwaa Kigali. Siku tatu zilizofuata tulizitumia kuzurura Dar ili sasa aione Dar es Salaam halisi si ile ya kwenye TV ama Dar ya Kariakoo tu. Hakika wote walifurahia uwepo wao siku zile tatu za ziada jijini. Tulitembea ‘viwanja’ vyote muhimu Dar mchana na usiku tukiwa watu wanne yaani mimi, mke wangu, Janeth na kaka yake. Niliwaahidi safari ijayo nitawapeleka shamba Bagamoyo wakale ‘maembe’ shambani na kuku hadi wazase.

Siku ya nne yake tuliwasindikia JKNI airport ili wapande ndege ya kuelekea Kigali ambapo nilichangia katika bajeti hiyo ya safari maana haikuwa katika mipango yao.

Kwakuwa biashara ilikuwa imefunguka, haikuchukuwa muda tukapata tena taarifa kuwa Janeth atakauja na kaka yake mwingine (kulwa) ambaye naye ilikuwa ni mara ya kwanza kuja Tanzania. Kama kawaida tuliwapokea na kuwakaribisha nyumbani na kufanya ‘shopping’ kama ya mara ya mwisho na kuzurura kama vile ingawaje safari hii wife hakujumuika kutokana na majukumu mengine. Mara hii tulifika hadi Sanzale Bagamoyo shambani ambapo pia ni nyumbani kwa mdogo wangu na kufurahi maisha ya shambani kwa siku nzima.
===

Tukiwa tunaendelea kupata chakula cha mchana mchemsho wa kuku (‘vyuku’) wa kienyeji, ugali kidogo na mahanjumati mengine kadha wa kadha nikapokea ujumbe wa whatsapp, ile kuufungua na kusoma…

“Habari Papaa?...”

“Mimi niko bien, nitafika Tanzanie na flight ya usiku a dizea (ten o’clock) , tuko hapa Adis Ababa…”

“Tafadhali ukuje unipokee mee utume shufel (chauffeur) wako akuje eapo (airport)…”

Ilikuwa ni sehemu ya ujumbe wa Bosio.
===

Tangia alivyoondoka siku ile (Bosio), tuliendelea kuwasiliana akaniambia mzigo ule (kontena) lilifika salama Bukavu na mzigo ulikuwa umzuri…

“…hawakuchanga na imitee…” ikikuwa ni moja ya sentesi ya mazungungumzo naye akimaanisha kuwa katika kumfungia mzigo wake hawakumchanganyia na ‘copy’, maana yeye aliagiza ‘original’ tu.

Hivyo mzigo ule aliugawanya kiasi aliuacha Bukavu na mwingine aliusambaza Goma. Kwa kuwa ulikuwa mzigo mkubwa ilichukuwa muda kidogo kuisha lakini katikati hapo alikuwa anaagiza kupitia Kishasha kwa ndege hadi alipopata hela ya kuagiza kontena nyingine mbili ndipo sasa anakuja kuipokelea Dar ingawaje meli bado ilikuwa haijafika wala bill of ladding haijatumwa.

Jioni ile tulirudi Dar baada ya kutembelea pia vivutio vya utalii japo kwa haraka haraka lakini walifurahi. Njiani wakati tunarudi niliwaeleza wageni wangu (Janeth na kaka yake) kuwa kuna mgeni mwingine anatarajia kufika leo Tanzania akitokea DRC na ameniomba nikampokee hivyo itakuwa vizuri tuwahi ili Dar ili kufanya maandalizi ya kumpokea Bosio. Sikumfafanulia Janeth kwa undani kuhusu Bosio. Nilipigia wife lakini kumueleza kuwa tuna ugeni mwingine, kama kawaida yake alifurahi, Hamida huwa anapenda sana wageni nyumbani.

Mpangilio wa kulala siku ile ulikuwa unaangukia Janeth ndio alale na Bosio chumba kimoja. Yaani DR Congo na Rwanda ndani ya chumba kimoja Tanzania. Je ni sawa kuiita fumanizi?!

Kimbebe kikawa hivi, Janeth hajui kama Hamida anajuwa kuwa yeye ndiye aliyenifundisha kilimo cha umwagiliaji kama Wanyarwanda wafanyavyo…!

Hamida hajui kama Bosio alimuonjea tamu yake ingawaje alionesha hisia za wasiwasi tangia alivyotupokea Ubungo tulivyokuwa tunatoka Bukoba…!

Kaka yake Janeth (Kulwa) alikuwa anajuwa kuwa nilitoka na dada yake huko Kigali lakini hajui kama mke wangu amejua, wala hakujuwa lolote kuhusu Bosio…!

Bosio ndio itakuwa mara ya kwanza kumuona Janeth na hajui lolote kuhusu yeye, ingawaje anajuwa alimuonjea Hamida utamu wake japo kwa dharura isiyo ya ukweli…

Hamida alikuwa anajuwa kwamba Janeth ndiye mwalimu wangu wa kilimo cha Kinyarwanda na kwamba bado sijakamilisha sharti moja la kusamehewa kwa kujifunza kilimo kile ingawaje amekifurahia na kuamua kusamehe…
===

Saa nne kasoro tulifika JKNIA tukiwa kwenye Alphard Hybrid, wote wane, Mimi, Wife, Janeth na kulwa.

ITAENDELEA…
 
Attachments

  • RwaKD1.jpeg
    RwaKD1.jpeg
    9.6 KB · Views: 51
  • BOSIO10.jpg
    BOSIO10.jpg
    26.1 KB · Views: 49
  • Janeth1.jpg
    Janeth1.jpg
    64.4 KB · Views: 53
Mzee kampuni ya utatu mtakatifu imerudi tena. Leo zimepita Bus mpyaa kadhaa hapa barabarani.View attachment 2546377
Hapa gps ilikuwa inasoma 160kph ikabidi nihakikishe kwenye speedometer ya basi mshale ulikuwa umelala kulia umeng'ang'ania. Ilikuwa hatari sana.
 
Kuna kitu kinanisumbua acha niulize,.Bi Hamida anajua ulisleep na Janet? Then anamkirimu nyumbani? How possible? Na wewe ulimwambia live kwamba ulilala na Janet? Was it necessary mbona ungeweza kumwambia umejifunzia mitandaoni? Kwamba shes that much understanding and forgiving au ameshakukatia tamaa kwamba ndo tabia yako ni either asepe au akae?
 
Mimi na Hamida tumetoka mbali sana! Ananijuwa vizuri tabia zangu na hata nikidanganya anajuwa na hugeuka mbogo bora umwambie ukweli huwa anatulia. Kama kununa atanuna, ama atalia lakini huwa afadhali kuliko ukimdanganya kesi yake huwa haiishi!

Tu wazee sasa! Hakuna pilikapilika na hata huko nyuma baada ya kumuoa nilibadilika na kuwa mume bora sana.

Ajali katikati hapa ni chache sana, lakini nimeamua kuleta simulizi hii maana sasa uzeeni naona ni hekaheka tu.

Endelea kufuatilia utaelewa tu, Hamida alikuwa na mpango wake wa siri....

Ooops, nitamaliza utamu.
 
(iii). Fumanizi ndani ya Jiji la Dar es Salaam.

Kwanza kabisa, nikutoe hofu ndugu msomaji, haikuwa fumanizi ile watu waijuayo, bali ni kitendo tu cha Janeth na Bosio kwa pamoja kukutana na Hamida nyumbani Tanzania na kulala nyumba moja. Tunaweza kusema ni ‘re-union’ fulani hivi isiyo rasmi ambayo haikutarajiwa na Janeth wala Bosio. Ni hekeheka tu uzeeni.
===

Baada ya mpaka wa Rusumo kufunguliwa na mabasi kuanza kufanya kazi kutoka Kigali kuja Tanzania, Janeth alifanya safari ya kuja Dar es Salaam, nilimkaribisha nyumbani yeye na kaka yake hivyo safari hii hakufikia hotelini. Niliwasaidia kuwaonesha ‘machimbo’ ya nguo maridani kutoka Uturuki na Thailand, hivyo safari hii hakupata shida kuzunguka kwenye maduka kama ilivyokuwa kwa safari zake tatu huko nyuma. Alinishukuru kwa kumpunguzia adha ya jua kali la Dar kwa kufupisha sehemu za manunuzi na kwa bei nzuri. Kaka yake (doto) pia alipata uzoefu wa jiji la Dar kwani ilikuwa mara yake ya kwanza kuja Dar ingawaje Uganda na Kenya alishafika.

Kwakuwa taarifa tulikuwa nayo kabla, tulikubaliana na Hamida kuwa afikie nyumbani angalau kuonesha fadhila walizo nikarimu kipindi kile cha ‘curfew’ na ‘lockdown’ jijini Kigali. Nyumba yangu si kubwa sana, vyumba vinne lakini ina uwanja mkubwa uliozungushiwa uzio ambapo wajukuu wakija hufurahia matunda kwenye miti hususani mapera ingawaje matunda mengine yapo na bustani iliyopo kufanya hali ya hewa humo uzioni kuwa nzuri yenye upepo mwanana licha ya joto kali la Dar. Kila chumba kina bafu na choo chake lakini chumba changu na Hamida ndio kimependelewa zaidi kwa ukubwa na muundo pia. Hivyo hatukuwa na wasiwasi juu ya nafasi ya wageni kufikia hapo nyumbani maana kwa sasa tupo mimi, mke wangu, dada msaidizi wa kazi za nyumbani na kaka msaidizi wa kazi za nje ikiwemo bustani pamoja na wajukuu wawili kutoka kwa Jason Jr.

Nje kuna kijumba cha wahudumu chenye chumba na sebule na chumba kimoja na stoo ndogo. Tulipanga kwamba kaka wa kazi atabaki kulala kwenye nyumba yake hiyo, dada wa kazi atalala chumbani kwake na watoto wa Jason Jr maana wote ni wa kike, Janeth na kaka yake watalala vyumba vilivyobakia.
===

Ilikuwa furaha isiyo kifani kwa familia ya Janeth kuona yeye na kaka yake wamefika salama na kupokelewa kwenye familia yangu. Tuliwasiliana kwa video call na kuongea na Kigali kwa muda mrefu ambapo muda wote ulikuwa ni furaha.

‘Shopping’ ilifanyika siku moja tu na mzigo ukawa umetosha kwa hela alizokujanazo. Nikamshauri safari hii asisafiri yeye pamoja na mizigo yake badala yake tuipakie kwenye malori yaendayo Kigali ambapo angeipokelea kule Magerwaa Kigali. Siku tatu zilizofuata tulizitumia kuzurura Dar ili sasa aione Dar es Salaam halisi si ile ya kwenye TV ama Dar ya Kariakoo tu. Hakika wote walifurahia uwepo wao siku zile tatu za ziada jijini. Tulitembea ‘viwanja’ vyote muhimu Dar mchana na usiku tukiwa watu wanne yaani mimi, mke wangu, Janeth na kaka yake. Niliwaahidi safari ijayo nitawapeleka shamba Bagamoyo wakale ‘maembe’ shambani na kuku hadi wazase.

Siku ya nne yake tuliwasindikia JKNI airport ili wapande ndege ya kuelekea Kigali ambapo nilichangia katika bajeti hiyo ya safari maana haikuwa katika mipango yao.

Kwakuwa biashara ilikuwa imefunguka, haikuchukuwa muda tukapata tena taarifa kuwa Janeth atakauja na kaka yake mwingine (kulwa) ambaye naye ilikuwa ni mara ya kwanza kuja Tanzania. Kama kawaida tuliwapokea na kuwakaribisha nyumbani na kufanya ‘shopping’ kama ya mara ya mwisho na kuzurura kama vile ingawaje safari hii wife hakujumuika kutokana na majukumu mengine. Mara hii tulifika hadi Sanzale Bagamoyo shambani ambapo pia ni nyumbani kwa mdogo wangu na kufurahi maisha ya shambani kwa siku nzima.
===

Tukiwa tunaendelea kupata chakula cha mchana mchemsho wa kuku (‘vyuku’) wa kienyeji, ugali kidogo na mahanjumati mengine kadha wa kadha nikapokea ujumbe wa whatsapp, ile kuufungua na kusoma…

“Habari Papaa?...”

“Mimi niko bien, nitafika Tanzanie na flight ya usiku a dizea (ten o’clock) , tuko hapa Adis Ababa…”

“Tafadhali ukuje unipokee mee utume shufel (chauffeur) wako akuje eapo (airport)…”

Ilikuwa ni sehemu ya ujumbe wa Bosio.
===

Tangia alivyoondoka siku ile (Bosio), tuliendelea kuwasiliana akaniambia mzigo ule (kontena) lilifika salama Bukavu na mzigo ulikuwa umzuri…

“…hawakuchanga na imitee…” ikikuwa ni moja ya sentesi ya mazungungumzo naye akimaanisha kuwa katika kumfungia mzigo wake hawakumchanganyia na ‘copy’, maana yeye aliagiza ‘original’ tu.

Hivyo mzigo ule aliugawanya kiasi aliuacha Bukavu na mwingine aliusambaza Goma. Kwa kuwa ulikuwa mzigo mkubwa ilichukuwa muda kidogo kuisha lakini katikati hapo alikuwa anaagiza kupitia Kishasha kwa ndege hadi alipopata hela ya kuagiza kontena nyingine mbili ndipo sasa anakuja kuipokelea Dar ingawaje meli bado ilikuwa haijafika wala bill of ladding haijatumwa.

Jioni ile tulirudi Dar baada ya kutembelea pia vivutio vya utalii japo kwa haraka haraka lakini walifurahi. Njiani wakati tunarudi niliwaeleza wageni wangu (Janeth na kaka yake) kuwa kuna mgeni mwingine anatarajia kufika leo Tanzania akitokea DRC na ameniomba nikampokee hivyo itakuwa vizuri tuwahi ili Dar ili kufanya maandalizi ya kumpokea Bosio. Sikumfafanulia Janeth kwa undani kuhusu Bosio. Nilipigia wife lakini kumueleza kuwa tuna ugeni mwingine, kama kawaida yake alifurahi, Hamida huwa anapenda sana wageni nyumbani.

Mpangilio wa kulala siku ile ulikuwa unaangukia Janeth ndio alale na Bosio chumba kimoja. Yaani DR Congo na Rwanda ndani ya chumba kimoja Tanzania. Je ni sawa kuiita fumanizi?!

Kimbebe kikawa hivi, Janeth hajui kama Hamida anajuwa kuwa yeye ndiye aliyenifundisha kilimo cha umwagiliaji kama Wanyarwanda wafanyavyo…!

Hamida hajui kama Bosio alimuonjea tamu yake ingawaje alionesha hisia za wasiwasi tangia alivyotupokea Ubungo tulivyokuwa tunatoka Bukoba…!

Kaka yake Janeth (Kulwa) alikuwa anajuwa kuwa nilitoka na dada yake huko Kigali lakini hajui kama mke wangu amejua, wala hakujuwa lolote kuhusu Bosio…!

Bosio ndio itakuwa mara ya kwanza kumuona Janeth na hajui lolote kuhusu yeye, ingawaje anajuwa alimuonjea Hamida utamu wake japo kwa dharura isiyo ya ukweli…

Hamida alikuwa anajuwa kwamba Janeth ndiye mwalimu wangu wa kilimo cha Kinyarwanda na kwamba bado sijakamilisha sharti moja la kusamehewa kwa kujifunza kilimo kile ingawaje amekifurahia na kuamua kusamehe…
===

Saa nne kasoro tulifika JKNIA tukiwa kwenye Alphard Hybrid, wote wane, Mimi, Wife, Janeth na kulwa.

ITAENDELEA…
Mzee una visa sanaa, unapakumbuka Nduguti na Gumanga?
 
Nduguti pale kulikuwa na waarabu fulani hivi matata, umri ulikuwa hauruhusu wakati ule...

Gumanga sipasahau kwa sababu niliwahi kutembea kutokea pale hadi Ibaga kwa miguu

Kulikuwa na karantini ya kipindupindu mwaka fulani long time ago, imagine nilitembea maili 27 = km43 hivi na vi point.

Napakumbuka vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom