Hekaheka Uzeeni

Hekaheka Uzeeni

Nduguti pale kulikuwa na waarabu fulani hivi matata, umri ulikuwa hauruhusu wakati ule...

Gumanga sipasahau kwa sababu niliwahi kutembea kutokea pale hadi Ibaga kwa miguu

Kulikuwa na karantini ya kipindupindu mwaka fulani long time ago, imagine nilitembea maili 27 = km43 hivi na vi point.

Napakumbuka vizuri mkuu.
Enzi za bao 12?
 
Mimi na Hamida tumetoka mbali sana! Ananijuwa vizuri tabia zangu na hata nikidanganya anajuwa na hugeuka mbogo bora umwambie ukweli huwa anatulia. Kama kununa atanuna, ama atalia lakini huwa afadhali kuliko ukimdanganya kesi yake huwa haiishi!

Tu wazee sasa! Hakuna pilikapilika na hata huko nyuma baada ya kumuoa nilibadilika na kuwa mume bora sana.

Ajali katikati hapa ni chache sana, lakini nimeamua kuleta simulizi hii maana sasa uzeeni naona ni hekaheka tu.

Endelea kufuatilia utaelewa tu, Hamida alikuwa na mpango wake wa siri....

Ooops, nitamaliza utamu.
Aise ngoja niendelee kufuatilia tu maana sjaelewa bado babu yangu
 
Nduguti pale kulikuwa na waarabu fulani hivi matata, umri ulikuwa hauruhusu wakati ule...

Gumanga sipasahau kwa sababu niliwahi kutembea kutokea pale hadi Ibaga kwa miguu

Kulikuwa na karantini ya kipindupindu mwaka fulani long time ago, imagine nilitembea maili 27 = km43 hivi na vi point.

Napakumbuka vizuri mkuu.
Wale waraabu bado wapo pale Nduguti japokuwa wengi wao wamehamia Oman kwa sasa. Wapo watoto wa bwana shamba kwa sasa. Gumanga hadi Ibaga asee ni mbali sana mkuu. [emoji119]
 
Karibu nusu ya basi "Yellow Line" tuliamua kutembea kuelekea Ibaga, tulianza safari saa saba usiku, siwezi kisahau 'route march' ile isiyokuwa na miongozo!

Hatimaye alasir tukahitimisha safari, hoi.
 
Nduguti pale kulikuwa na waarabu fulani hivi matata, umri ulikuwa hauruhusu wakati ule...

Gumanga sipasahau kwa sababu niliwahi kutembea kutokea pale hadi Ibaga kwa miguu

Kulikuwa na karantini ya kipindupindu mwaka fulani long time ago, imagine nilitembea maili 27 = km43 hivi na vi point.

Napakumbuka vizuri mkuu.
Gumanga hapakuniacha salama nilipita na mwarabu kwao walikua na shell(kituo cha kuuza mafuta)
 
Mimi na Hamida tumetoka mbali sana! Ananijuwa vizuri tabia zangu na hata nikidanganya anajuwa na hugeuka mbogo bora umwambie ukweli huwa anatulia. Kama kununa atanuna, ama atalia lakini huwa afadhali kuliko ukimdanganya kesi yake huwa haiishi!

Tu wazee sasa! Hakuna pilikapilika na hata huko nyuma baada ya kumuoa nilibadilika na kuwa mume bora sana.

Ajali katikati hapa ni chache sana, lakini nimeamua kuleta simulizi hii maana sasa uzeeni naona ni hekaheka tu.

Endelea kufuatilia utaelewa tu, Hamida alikuwa na mpango wake wa siri....

Ooops, nitamaliza utamu.
Hata mimi nijuavyo akinamama hasa kama anachepuka kisiri huwa na wivu ajabu. Mpaka nikadhani hii account ni ya DeepPond na Mama J wake
 
Hili Basi Lina uhusiano wowote na central line?(Singida-Dar)
Yellow Line likikuwa la tajiri mmoja aitwaye Amri Said

Sina uhakika kwa Central Line!

Enzi hizo neno "line" walikuwa wanalitumia sana maana pia kulikuwa na bus liitwalo "Blue Line"
 
Back
Top Bottom