Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa tunasubiri kwa hamu ba mkubwaSeason II
Ok sister mawigiiiiSanto sana kichaa ake!
SawaNimechelewa sana leo humu..
Thanx kipenzi
Nilikuwa nataka nijifunze nini wasomaji wa JF wanapendaUtakua mtu wa kitengo nyeti umestaafu kama hujastaafu..
Ila ni ndefuuuu..
Sijui kwa sbb tushazoea itaendelea mpk siku 2 au 5 huko ndo muendelezo...
Sio sogozi peke yake na kuchati mambo yao binafsi pia katikati ya episodee...ww umewanyima hiloNilikuwa nataka nijifunze nini wasomaji wa JF wanapenda
Nimegundua kuwa hawapendi stori ndefu
Pia nimegunduwa huwa wana enjoy eposode 1 kila wiki labda
Pia nadhani huwa wanapenda sogozi baina ya episode na episode
Season II tutaenda sawa.
Mmeanza,imepigwa bandika bandua ambayo huwa mnataka,sasa unadai usummaraiziwe pim bi w e wSammary kwa maneno yasiyopungua 150...
Ulivyoandika ni kama huwa hawalipwi mshahara kila mwisho wa mweziIla mafao yenu wastaafu bado ni madogo sana ndugu yangu, yaani unafanya kazi kwa zaidi ya miaka 29 alafu eti unalipwa milioni 72? Pesa ambayo kuna watu hapa mjini anafanya biashara raundi mbili anaipata. Kwakweli wandugu tutafuteni pesa kupitia biashara
Such a man,with a message