Hekima hii ya Mwalimu Nyerere, Ikuongoze Mhe. Mbowe

Hekima hii ya Mwalimu Nyerere, Ikuongoze Mhe. Mbowe

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Mwalimu Nyerere miaka ile 1995 alipoona sarakasi za siasa zenye lengo la kuidhoofisha Nchi, aliingia ulingoni na akawatamkia wapinzani kina Marehemu Mrema, maneno yafuatayo:-

" I cant go to sleep in Butiama and let my country go to dogs"

Ni wazi CHADEMA imekuwa hivi ilivyo kwa mchango wako mkubwa na wengineo uliowaongoza. Ikitoweka naamini pia wewe ndiye utakayeaibika zaidi na kuumia zaidi. Kama ambavyo Mwalimu angeumia miaka ile kwa kuuona Nchi inakwenda kwa wasio na ajenda Wala kujitambua

Ni vizuri kuwa na mabadiliko ya uongozi kwenye Chama lakini sio kwa mrengo huu wa sasa.

Otherwise, time will tell.
 
Back
Top Bottom