Hekima imuelekeze Mbowe kujiepusha na midahalo holela, badala yake ajikite kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu ili apate ushindi wa kishindo kwa haki

Tulia wewe akapigwe spana za kutosha
 
Safi sana mkuu
 
Wewe kila siku na mambo ya CHADEMA, hivi mbona huzungumzii Nafasi ya makamu Mwenyekiti huko CCM kuwa wazi kwa miezi zaidi ya mitano??

Nikikuita KENGE utanilaumu???
Mwite kipaza,kisemeo cha mwamba cha hiari.
 
Wananchi ndio watakaoamua kuleta mabadiliko pale watakapojitambua kwasababu tatizo sio vyama vya upinzani..kwasababu ata mwenyekiti akiwa lissu usitegemee ccm inatoka madarakani kirahisi hivyo kama kumsukuma mlevi.Hoja zakwenye majukwaa hazijawai kusaidia chochote kwenye sanduku la kura.Mbowe hajavunja katiba ya chama chao mambo mengine ni chuki au hisia binafsi.
 
Hekima ya Mbowe imwambie kuna walakini kwa CCM kumpigia chapuo kuliko kawaida
 
Hata ungesema nini, lakini ukweli ni kwamba kukaa madarakani miaka 20 hata kama Katiba inaruhusu bado ni ulafi wa madaraka.

Wanasema Mbowe ana busara, kwa nini busara zake zinamwambia tu kuendelea kubaki madarakani badala ya hizo hizo busara kumtaka kuachia ngazi?
 
Vipaza vya kujitolea ili Mwamba azidi kutuzamisha vipo kooo,hata weyeee waweza kuwa umeamua kujitolea.
 
Nimejua kwa nini Lissu hakufa. Kazi aliyoahidiwa na Mungu ndiyoanakwenda kuifanya hivi karibuni. Kazi hiyo ni kuisuka CHADEMA na kuisuka nchi upya. CCM jiandaeni kua chama cha upinzani
 
elezea wadau kwa kina kifupi kidogo gentleman, kuhusu hilo..

hata hivyo,
nimeelezea kwa kifupi sana, kinagaubaga kuhusu mdahalo na sio maandamano gentleman 🐒
Hata mimi nimeeleza kwa kifupi na kinagaubaga kuhusu maandamano gentleman.
 
Hata magu aliwahi sema ukiona unasifiwa na maadui zako jitathmini umekosea wapi.Ni mambo ya ajabu Watesi wetu wanapendi mwenyekiti aendelee na kiti chake.
 
Mbowe alishachokwa na wanachama, miaka 20+ inamtosha.
Anaweza kushinda kwa hila au kwa rushwa lakini baada ya hapo chama kinakufa.
Wenye akili wataachana na hicho chama na hakitakuwa na tofauti na UDP au CUF.
Tunajua CCM wanamuhitaji sana Mbowe lakini awamu hii hatoboi.
Miaka yote tulimuunga mkono lakini kwa sasa apumzike awaachie wenzake walete maono mapya
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1735456418662.jpg
    57.3 KB · Views: 2
Jan.22,2025 sio mbali gentleman,

itabainika wazi kwamba ni kibaraka au mzalendo ndie aliechokwa,

wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wamejipanga vizuri sana aise,

wala hakuna haja ya mayoye na makelele kabla ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…