Hekima imuelekeze Mbowe kujiepusha na midahalo holela, badala yake ajikite kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu ili apate ushindi wa kishindo kwa haki

Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.

Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.

My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?

mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tulia wewe akapigwe spana za kutosha
 
Mdahalo wa wazi tena hata mitatu ili akina Tlaatlaah wasiwe visemeo/vipaza vya Watanzania na Wanachadema.Wasikie kama mwamba atatuvusha au anatuzamisha,pia Wa tz tujue jinsi TL atakavyo tuvusha na jinsi alivyoibua kutuzamisha kwa mwamba,wanamboga mboga wanavyo penyeza rupia ili Mwamba na mamluki watuzamishe wazamisha Watanzania.
Safi sana mkuu
 
Wewe kila siku na mambo ya CHADEMA, hivi mbona huzungumzii Nafasi ya makamu Mwenyekiti huko CCM kuwa wazi kwa miezi zaidi ya mitano??

Nikikuita KENGE utanilaumu???
Mwite kipaza,kisemeo cha mwamba cha hiari.
 
Hata Mbowe akipata kura 100, chadema is over.

Chadema hawatakua na hoja tena ya kuwaambia watu eti ccm imeng'ang'ania madaraka miaka 65 wakati mwenyekiti ameng'ang'ania madaraka miaka 20 na zaidi.

Mwakani Kibajaji watapeleka hoja ya kubadilisha katiba Samia atawale milele, chadema hawatakua na hoja ya kupinga.

Chadema itaungana na wenzao kina cuf na nccr mageuzi icu kusubiri kuzikwa tu.

Na mimi nakuombea Mbowe ashinde kwa kishindo uchaguzi ujao ili ccm iwakaange vizuri mwakani.
Wananchi ndio watakaoamua kuleta mabadiliko pale watakapojitambua kwasababu tatizo sio vyama vya upinzani..kwasababu ata mwenyekiti akiwa lissu usitegemee ccm inatoka madarakani kirahisi hivyo kama kumsukuma mlevi.Hoja zakwenye majukwaa hazijawai kusaidia chochote kwenye sanduku la kura.Mbowe hajavunja katiba ya chama chao mambo mengine ni chuki au hisia binafsi.
 
Hekima ya Mbowe imwambie kuna walakini kwa CCM kumpigia chapuo kuliko kawaida
 
Wananchi ndio watakaoamua kuleta mabadiliko pale watakapojitambua kwasababu tatizo sio vyama vya upinzani..kwasababu ata mwenyekiti akiwa lissu usitegemee ccm inatoka madarakani kirahisi hivyo kama kumsukuma mlevi.Hoja zakwenye majukwaa hazijawai kusaidia chochote kwenye sanduku la kura.Mbowe hajavunja katiba ya chama chao mambo mengine ni chuki au hisia binafsi.
Hata ungesema nini, lakini ukweli ni kwamba kukaa madarakani miaka 20 hata kama Katiba inaruhusu bado ni ulafi wa madaraka.

Wanasema Mbowe ana busara, kwa nini busara zake zinamwambia tu kuendelea kubaki madarakani badala ya hizo hizo busara kumtaka kuachia ngazi?
 
Wananchi ndio watakaoamua kuleta mabadiliko pale watakapojitambua kwasababu tatizo sio vyama vya upinzani..kwasababu ata mwenyekiti akiwa lissu usitegemee ccm inatoka madarakani kirahisi hivyo kama kumsukuma mlevi.Hoja zakwenye majukwaa hazijawai kusaidia chochote kwenye sanduku la kura.Mbowe hajavunja katiba ya chama chao mambo mengine ni chuki au hisia binafsi.
Vipaza vya kujitolea ili Mwamba azidi kutuzamisha vipo kooo,hata weyeee waweza kuwa umeamua kujitolea.
 
Nimejua kwa nini Lissu hakufa. Kazi aliyoahidiwa na Mungu ndiyoanakwenda kuifanya hivi karibuni. Kazi hiyo ni kuisuka CHADEMA na kuisuka nchi upya. CCM jiandaeni kua chama cha upinzani
 
elezea wadau kwa kina kifupi kidogo gentleman, kuhusu hilo..

hata hivyo,
nimeelezea kwa kifupi sana, kinagaubaga kuhusu mdahalo na sio maandamano gentleman 🐒
Hata mimi nimeeleza kwa kifupi na kinagaubaga kuhusu maandamano gentleman.
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi wako;

1:Mbowe hana hoja na hawezi akajenga hoja kumzidi Lissu

2:CCM mnamuogopa sana Lissu na mnaomba usiku na mchana FAM ashinde ili muweze kumuendesha………Mnajua kabisa akiingia Simba TAL yeye ndiye atawaendesha na atawapelekea moto vibaya sana

3:Ni utaratibu wa kiongozi dhaifu kukimbia midahalo,unahisi wapiga kura wa “Mwamba tuvushe” atawapatia wapi ikiwa hataki hoja zake ziwe public!??

4:Nchi inamuhitaji Lissu kuliko Lissu anavyo ihitaji Nchi/CHADEMA

Tulia dawa ikuingie taratibu wewe Chawa na hapo bado,safari hii mtaomba TAL apotee kabisa hapa duniani na yeye anafahamu hilo coz hana cha kupoteza
Hata magu aliwahi sema ukiona unasifiwa na maadui zako jitathmini umekosea wapi.Ni mambo ya ajabu Watesi wetu wanapendi mwenyekiti aendelee na kiti chake.
 
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.

Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.

My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?

mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mbowe alishachokwa na wanachama, miaka 20+ inamtosha.
Anaweza kushinda kwa hila au kwa rushwa lakini baada ya hapo chama kinakufa.
Wenye akili wataachana na hicho chama na hakitakuwa na tofauti na UDP au CUF.
Tunajua CCM wanamuhitaji sana Mbowe lakini awamu hii hatoboi.
Miaka yote tulimuunga mkono lakini kwa sasa apumzike awaachie wenzake walete maono mapya
 
Attachments

  • FB_IMG_1735456418662.jpg
    FB_IMG_1735456418662.jpg
    57.3 KB · Views: 2
Mbowe alishachokwa na wanachama, miaka 20+ inamtosha.
Anaweza kushinda kwa hila au kwa rushwa lakini baada ya hapo chama kinakufa.
Wenye akili wataachana na hicho chama na hakitakuwa na tofauti na UDP au CUF.
Tunajua CCM wanamuhitaji sana Mbowe lakini awamu hii hatoboi.
Miaka yote tulimuunga mkono lakini kwa sasa apumzike awaachie wenzake walete maono mapya
Jan.22,2025 sio mbali gentleman,

itabainika wazi kwamba ni kibaraka au mzalendo ndie aliechokwa,

wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wamejipanga vizuri sana aise,

wala hakuna haja ya mayoye na makelele kabla ya uchaguzi :pedroP:
 
Back
Top Bottom