Hekima inaelekeza Jaji Mkuu kujiuzulu

Hekima inaelekeza Jaji Mkuu kujiuzulu

Huyu aliyeandika anajitambua na anajua majukumu yake,
Siyo Kama wewe unaesubili ugali wa shikamoo.
 
Kesi ya Mbowe na wenzake imethibitisha ubovu wa mahakama ya Tanzania. Ni dhahiri chombo hiki si huru na wala hakina uadilifu. Mahakama inashirikiana na mawakili wa Serikali kutoa nyaraka za mahakama kuwapa mashahidi wa upande wa Serikali. Jambo hili limethibitika wazi.

Jambo la kushangaza ni kuwa uongozi wa mahakama upo kimya! Kama tungekuwa na Jaji Mkuu mwenye hekima, angejiuzulu. Kashfa hii ni kubwa sana.

Mbowe na wenzake, kwa uthibitisho huu wa mahakama kushirikiana na washtaka wao, wana haki ya kutamka wazi kuwa hawana imani na hii mahakama, na hivyo utafutwe utaratibu mwingine wa kuendesha shauri lao, nje ya chombo hiki kilichotekwa nyara na Serikali.
Najaribu kufikiri kuhusu hoja yako hii...

Kwamba, mtuhumiwa aliye na kesi mahakamani anaweza kusema HANA IMANI NA MAHAKAMA au na HAKIMU/JAJI...?

Akisema hana imani na MAHAKAMA KWA UJUMLA kwa maana ya mfumo mzima wa utoaji haki [the whole justice system], ni nini sasa kinapaswa kufanyika baada ya hapo..?

Je, mtuhumiwa kuwa huru? Je, kesi yake ikasikilizwe nchi nyingine labda Rwanda au Uganda..?
 
Hekima ya nani inaelekeza hivyo?

Maana kila mtu ana hekima yake
Siyo kweli kuwa kila mtu ana hekima. Wapo wasiokuwa na hekima. Ninamaanisha kama angekuwa na hekima ya kiuongozi.
 
Wewe unayo?

Hebu tuambie unaongozea wapi ili na sisi tuje tupime hekma yako😂😂
 
Kesi ya Mbowe na wenzake imethibitisha ubovu wa mahakama ya Tanzania. Ni dhahiri chombo hiki si huru na wala hakina uadilifu. Mahakama inashirikiana na mawakili wa Serikali kutoa nyaraka za mahakama kuwapa mashahidi wa upande wa Serikali. Jambo hili limethibitika wazi.

Jambo la kushangaza ni kuwa uongozi wa mahakama upo kimya! Kama tungekuwa na Jaji Mkuu mwenye hekima, angejiuzulu. Kashfa hii ni kubwa sana.

Mbowe na wenzake, kwa uthibitisho huu wa mahakama kushirikiana na washtaka wao, wana haki ya kutamka wazi kuwa hawana imani na hii mahakama, na hivyo utafutwe utaratibu mwingine wa kuendesha shauri lao, nje ya chombo hiki kilichotekwa nyara na Serikali.
Kosa lako kubwa ni kudhani kuwa kesi ya ugaidi ni sawa na kesi ya Mpare kutetea kuku - this is mass murder my friend. No Judge on this earth will let free a prisoner accused of mass murder, amwachie aende scoot free eti tu kwa sababu tarege ilikosewa. Mtakataa kila mtu, mtakataa kila kitu, kuna watu alfu wangeweza kufa
 
Hapana wa jiuzuru sio jaji mkuu ni mtunza ya nyaraka za mahakama court custodian
Hakuba mtu wa kujiuzulu. Alikuwa njiani kwenda kulipuwa sheli za Temeke na Mbeya ba Tarime ili iwe taharuki. Unawajua Wabunge wa huko? Kama wataachiwa kiba adamoo kijanjakijanja tujue jamii haiko salama.
 
Kesi ya Mbowe na wenzake imethibitisha ubovu wa mahakama ya Tanzania. Ni dhahiri chombo hiki si huru na wala hakina uadilifu. Mahakama inashirikiana na mawakili wa Serikali kutoa nyaraka za mahakama kuwapa mashahidi wa upande wa Serikali. Jambo hili limethibitika wazi.

Jambo la kushangaza ni kuwa uongozi wa mahakama upo kimya! Kama tungekuwa na Jaji Mkuu mwenye hekima, angejiuzulu. Kashfa hii ni kubwa sana.

Mbowe na wenzake, kwa uthibitisho huu wa mahakama kushirikiana na washtaka wao, wana haki ya kutamka wazi kuwa hawana imani na hii mahakama, na hivyo utafutwe utaratibu mwingine wa kuendesha shauri lao, nje ya chombo hiki kilichotekwa nyara na Serikali.
Suluhisho la kudumu na litakaloondoa aibu hii ni KATIBA MPYA.
 
Hiyo kesi ukiifatilia unashangaa kweli achilia mbali kutoa nyaraka pia mtu anaingia na karatasi na simu akiwa anatoa ushahidi mpaka Jaji haoni kinachoendelea watu waliokaa ndio wanajua kweli kiboko...
 
Kwa lugha iliyonyooka tuseme nchi hii haina Mahakama kama ambavyo haina Bunge.
Mahakama zimegeuzwa kuwa vizimba vya kuwafunga Wapinzani Wanaharakati na Critics.

Hata kwenye Wimbi wa Taifa kuna sehemu inasema HEKIMA lakini hawa wameshalewa Madaraka.

Hawafuati Katiba iliyoko wala Sheria tuliojiwekea wao Ilani ya Chama chao ndio muhimu kwao.

CCM ni msiba mkubwa kwa Taifa hili.
 
Back
Top Bottom