Hekima inaelekeza Jaji Mkuu kujiuzulu

Do huwa mnapenda kuandika ujinga ujinga mkishaa shida makande na jouce ya miwa
Tafakari kabla yakuwakilisha kilichojaa ubongoni mwako. Hata kukaa kimya mbele ya wenye weredi nako ni hekima. Usipende kudhihirisha ujinga wako kwa GT.
 
Hakuba mtu wa kujiuzulu. Alikuwa njiani kwenda kulipuwa sheli za Temeke na Mbeya ba Tarime ili iwe taharuki. Unawajua Wabunge wa huko? Kama wataachiwa kiba adamoo kijanjakijanja tujue jamii haiko salama.

Huu muda uliotumia kuandika huu utoto hapa, ni vyema ungejifunza kuandika kwa usahihi.
 
tuseme tu ukweli hii nchi haina jaji mkuu kama ambayo haina spika wa bunge.
Huu ndio ukweli, Prof Juma from being a mere Prof anaefundisha UDSM hata uwakili hakuwa ameutumikia na kwenda kuwa Jaji Mkuu, ameishia kuifanya Mahakama uonekane toothless muoga sana yule mpare.

Hakuna lawyer mwoga namna Ile ameaibisha sana mhimili wa Mahakama. Yani amesababisha kuonekana Hana nguvu kiasi hata DPP anaonekana yupo juu yake au Attorney General.
 
Sijui tufanye nini Tupate Jaji Mkuu alie weledi kusimamia jaki huko Mahakama za juu....huyu pamoja kuwa mshika dini wana siasa wamemzidi....
Mkuu, kuna mtu anaitwa Job Ndugai, aliumuona mke wa Yesu lakini bado akiri yake iko mashakani, je huyu Jaji mshika dini tu anaweza akawa na busara zaidi kuliko aliyemuona mke wa Yesu???
 
Mkuu, kuna mtu anaitwa Job Ndugai, aliumuona mke wa Yesu lakini bado akiri yake iko mashakani, je huyu Jaji mshika dini tu anaweza akawa na busara zaidi kuliko aliyemuona mke wa Yesu???
Ooih mitaa ya jerusalem....hapo kweli yuko juu sana....hadi Galilaya alifika huko kote ndio mitaa yake
 
Ooih mitaa ya jerusalem....hapo kweli yuko juu sana....hadi Galilaya alifika huko kote ndio mitaa yake
Ulimi hauna mfupa. Why pick on little nothings and ignore the gudygudies? Hii nchi imeliwa mno, Wahutu na Wasomati, watu wanakimbia genocide makwao wanakuja hapa tunawahifadhi halafu wanatutukana? Na nyie ndugu zetu Yuda Iskaroti mnawakingia kifua? Mlitakw TIGO wafadhili malipo ya magaidi rti Jaji Mkuu ajiuzulu, kutetea magaidi?
 
Watu wanne pekee ndo walitaka kufanya ugaidi wa zaidi ya mikoa mitano kukata miti,kuchoma vituo vya mafuta nakadhalika.

Ukisikia huko nje kwa wenzetu mtu akishtakiwa kwa ugaidi basi nyuma kuna kikundi kikubwa cha kigaidi tena chenye silaha kali kama al qaeda,islamic state nakadhalika.

Sasa kwenye hii kesi hakuna kikundi chochote kilichotajwa ambacho kinajihusisha na vitendo vya kigaidi zaidi ya watu wanne pekee.
 
hatuna utamaduni huo. Makosa, Oli Mpolah watoe CJ, maajabu ya karne!
 
Kujiuzulu Hawezi Wananchi ndio wanaogopa Serikali Sio Serikali Iwaogope....Shida Iko Kwenu wananchi na hamjitambui...

HUYO CJ anaonekana tu na majudge wengi hawa wanajuana walivyopata nafasi hizo kazi ipo hapo ngumu...
 
Hata Mbowe kwa hekima kutokana na shutuma anazoshutumiwa nazo anapaswa kujiuzulu
 
Hivi waziri jenista muhagama Ni waziri wa nini vile?
Mtendaji mkuu wa mahakama huteuliwa kutoka serikalini.

Jaji mkuu yuko chini ya waziri wa Katiba na Sheria.

Spika yuko chini ya wananchi

Nadhani nimeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…