Hekima inaelekeza Jaji Mkuu kujiuzulu

Sijui tufanye nini Tupate Jaji Mkuu alie weledi kusimamia jaki huko Mahakama za juu....huyu pamoja kuwa mshika dini wana siasa wamemzidi....
Dini ipi....unafikiri yeye hajui....yeye ni sehemu ya dhambi hii ya kinjama. Anahisi kwamba dhambi hizi ni za kisiasa za kuangamiza wasio na hatia kusudi ili kusaidia utawala ili yeye binafsi aendelee kupendwa na huyu mtawala...jaji mkuu anatabia za MAFARISAYAO KABISA
 
Do huwa mnapenda kuandika ujinga ujinga mkishaa shida makande na jouce ya miwa
Hebu soma ulichoandika Kama hutoona aibu na kujidharau! Unayananga makande yaliyokukuza baada ya kufika mjini na kuikuta mihogo ambayo umeigeuza menyu kuu? Shame!
 
Hili jambo la msingi sana uliloandika mleta mada, kila siku tumekuwa tunalalamika mahakama zetu hasa mahakama kuu imeoza, majaji wake wameiondolea credibility imepoteza uaminifu kwa watanzania wote wapenda haki.

Kinachofuata kifanyike nini ili kututoa hapa tulipo? hili linahitaji suluhisho la muda mfupi ambalo litasaidia kurudisha imani ya watu kwa mahakama zetu, hapa ndio hoja yako mleta mada inapata nafasi.

Jaji mkuu anatakiwa ajiuzulu, tusiendelee kulea huu uozo matokeo yake wengi watazidi kuumizwa na maamuzi ya hovyo yanayolenga kuwaumiza wapinzani wa serikali ya CCM yasiyofuata misingi ya sheria na haki za binadamu.

Napendekeza pawepo na movement isiyo na mwisho kumtaka jaji mkuu ajiuzulu mara moja kwa kushindwa kuwaweka majaji walio chini yake wafuate misingi ya haki wakiongozwa na sheria, naamini kwa nafasi yake ana mamlaka ya kuwashughulikia wote wanaokiuka viapo vyao, lakini kwa kukaa kwale kimya anaoneaha nae hafai kuendelea kushikilia hiyo nafasi.

Tusihangaike kila siku na hawa majaji wa chini wasiojali miiko ya taaluma yao, sasa tumuangalie yule kiongozi wao anayeonekana kukaa kimya na kufurahia huu uozo unaoidhalilisha tasnia ya sheria nchini kwetu Tanzania.
 
Hiki chombo Mahakama ya Tanzania haina tofauti na Tume ya Uchaguzi ya Tanzania chinni ya Wilson Mahera
 
Kule juu kukioza huku chini ndio kabisa
 
Hakuba mtu wa kujiuzulu. Alikuwa njiani kwenda kulipuwa sheli za Temeke na Mbeya ba Tarime ili iwe taharuki. Unawajua Wabunge wa huko? Kama wataachiwa kiba adamoo kijanjakijanja tujue jamii haiko salama.
Pole ndugu,
akili yako na ya wenzio kule kijani zikipata nafasi ya kutulia mtapata uelewa.
 
tuseme tu ukweli hii nchi haina jaji mkuu kama ambayo haina spika wa bunge.
Unataka kusemaje mkuu Daudi Mchambuzi , kwamba umebaki muhimili mmoja tu? Kuna wakati JPM aliwahi kusema kwamba katika hiyo mihimili 3 mmoja imejikita zaidi tukapiga kelele leo unasema hatuna Jaji Mkuu wala Spika!
Jaji Mkuu yupo na anatenda shighuli zake na Spika yupo na anatenda na kwa maana hiyo tuna Mihimili 3 ya Dola na inatekeleza majukumu yao.
 
Mkuu, kuna mtu anaitwa Job Ndugai, aliumuona mke wa Yesu lakini bado akiri yake iko mashakani, je huyu Jaji mshika dini tu anaweza akawa na busara zaidi kuliko aliyemuona mke wa Yesu???
Hawezi kabisa asilani
 
Mkuu, kuna mtu anaitwa Job Ndugai, aliumuona mke wa Yesu lakini bado akiri yake iko mashakani, je huyu Jaji mshika dini tu anaweza akawa na busara zaidi kuliko aliyemuona mke wa Yesu???
Hawezi kabisa asilani
 
Jaji Ibra Juma yeye ni kuvuta fegi tu
 
Bila katiba mpya huzi zahama zitaendelea kututesa.
 
Umeelewa au mihemko yako ya kiCCM ndiyo inayokuongoza?

Mwambie Mume wako atuabisha Wahandisi(Engineers).Mwanamke anayefikishwa kileleni hayuko kama wewe.

Mwanaume mwenye mipango kamwe hawazi kumfikisha mwanamke kilele asubuhi asubuhi, lazma umeshindwa sasa ndo umeamka nalo linakuumiza. Mwanaume rijali anawaza mipango ya maendeleo, kuzalisha mali na kuongeza kipato

Kwa kifupi wewe sio mwanaume rijali wa mwili wala akili

Na kwa msaada wako tuu huwezi kumfikisha mwanamke kilele kama wewe mwenyewe hujawahi fika kilele cha kufikia kuwa mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…