Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha inayokuja kwako ina malengo mazuri' nyingine zinakuaangamiza kabisa.
Tunakumbuka Mwendazake alitumia nguvu ya fedha kuwashawishi madiwan na wabunge wa Chadema kuunga juhudi zake na kuwapa rushwa ya madaraka waliotoka Chadema. Chama kimefanya uungwana sana kukataa ruzuku zaidi ya bilioni moja na ushee kutoka Hazina kwani ingekuwa ni kete ya CCM kupomoa chama kama mwendazake alivyofanya.
Tukumbuke hata waasi Covid-19 fedha za ubunge ndizo zilizowafanya wakaasi kama Yuda Iskarioti au yule Delila aliyemuuza Samson kwa vipande thelasini za fedha. Heko chadema kukataa haramu hii ya fedha.