Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

Mara zote mnafiki utamjua tu, huwa anaandika kwa kujishuku na kujitetea zaidi. Pili hapa panamuuma sana maaa yeye siyo shabiki wa Simba, kwa hiyo anaumia sana kwa sababu hatua anazofikiaga Simba katika michuano ya kimataifa timu yake huwa ni ndoto kufika huko. Hadi muda huu anaumia sana, kwa sababu anajua Simba imeiacha mbali sana timu yake katika viwango vya ubora Africa na duniani.
 
We si ndo mtu wa makafara?? We si juzikati ulisema sio rahisi simba kushinda ushindi wa kishindo kisa wanacheza usiku zaid ya saa 3 na jini lenu litakua limelala??

Vipi mbona ushindi wa kishindo huo hapo??
Kwani kuna timu na timu za kuzifanyie hayo mauganga mkuu?? Tp mazembe haiwezi pigwa kipapai na kamati yenu ya mambo jadi??
 
Utatapatapa sanaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣#4
 
Hiyo mimba inakupeleka puta bibie,tulia ujifungue kwanza
 

Tuipongeze Simba kwa kuingia robo fainali ya huko mbeleni tuyaache.
 

Tuipe Simba haki yake, amefika sehemu ambayo wengine wameshindwa kwa miaka minne. Mengine Ni Mambo ya kiufundi.
 
Sawa, ila unaweza kuwa na timu nzuri, bado usifanye vizuri, kwa hiyo maoni yako ni 50,50.
 
Kama mpenzi wa Simba, pamoja na kuutaja ukweli wote mchungu na kueleza mapungufu yote uliyoyaona kutoka kwa timu, kocha na mchezaji mmoja MMOJA, Pamoj na msululu wa lawama, BASI HUNA HATA USHAURI MMOJA SIMBA IFANYE NINI ILI IVUKE HATUA HII?
 
Msiseme mimi ni mwizi 😮
Ila lazima tuibiwe Tv 😁

Yaani nilijuaga GENTA humu ni genious ila sorry saivi nakuona pompoma hivi al ahly hujaona akipigwa nje ndani sembuse hap uliowataja vaa jezi za kijani usijifiche bana 😎
 
Sijaona Mpira wa kutilia shaka kiasi hicho, sijajua wewe umeangalia kwa mtazamo upi.

Timu ipo..huyo Morrison angekuwa wa Genda Marie na jana wangetugalagaza leo hii ndio angekuwa wimbo hapa Bongo...sasa kama Watu kama hao tunao sisi wewe unaogopa nini?.
 
Kweli isemwe mpira wa Hovyo sana Sana...Simba inabidi ijiangalie sana kwenye game plan unashindwa kuelewa wanacheza formation gani...
Ni bahati mbaya kuwa hapa JamiiForums GENTAMYCINE huwa naeleweka na Werevu ( Intelligent ) wachache mno kama Wewe ila huwa sieleweki na nachukiwa na Wapumbavu ( Fools ) wengi ambao katika huu Uzi wangu wamejaa ( wamejitokeza ) tele tu.
 
Shida mnamshambulia mleta mada (Personal attack) badala ya kujibu hoja zake
 
Shida mnamshambulia mleta mada (Personal attack) badala ya kujibu hoja zake
Kwa Baraka Kubwa za Akili, Upeo na Maarifa mengi kamwe hawatoweza kujibu hizo Hoja zangu au hata kuelewa nilichokiandika ila kilichopo kwa haraka Ubongoni mwao ni Kunishambulia tu utadhani nimelala na Mama zao Wazazi, nikawapalange na kuwaacha Solemba hivyo kwa Hasira zao wameamua kunishtakia kwa hawa Watoto wao ( zao ) ili wamalize Uchungu / Jazba zao Kwangu.
 
Kama Simba Ni mbovu, hao waliotolewa tunawaitaje. Kuna timu mbovu inashinda goli nne bila?

Kimpira kila mfungaji Ni mchoyo, na kilichokosekana KWA simba jana hasa kipindi Cha kwanza Ni utulivu tu . Simba waliweza kuumiliki mchezo vilivyo. Ndiyo maana kipindi cha pili walirudi wakiwa wameshusha presha na kumaliza mechi.

Duniani kila timu huwa bonasi zipo, si dhambi, Ni moja ya njia ya kuchochea ari na kujituma.

Ni ushamba, upumbavu, kutojielewa kudhani kwamba Kuna uchawi, kuhonga waamuzi ndiyo maana Simba inashinda. Simba wanapambana kwa jasho na damu kupata matokeo mazuri.

Kwakweli Ni kukosa heshima, shukrani na uchawi kusema jana simba ilicheza mpira mbovu. MPIRA MBOVU DHIDI YA UPI MZURI WA GENDARMARIE?

Labda useme SIMBA Ni mbovu kwa kutinga robo fainali na akina Asec Mimosas Ni bora ndiyo maana walitolewa.

Hakuna mtu anayeujua mpira atamsajili Mayele kwamba atakusaidia kwa mechi za kimataifa. Kwa NBC premier league hapo sawa na tena anastruggle sana kufunga goli.

Hakuna timu ya kuitisha simba kati ya hao Pirate's, Mazembe nk ishu ni kujipanga, kujifunza na kujua wanataka Nini. Uamuzi wa kupata matokeo bora robo fainali uko mikononni kwa Simba.

Wachache Walio bora kati ya wengi ndiyo wamefuzu kwa robo fainali , hivi ndivyo watu positive hufikiri. Zaidi sasa ukishafuzu Ni kujipanga,kucheza kwa Ari na mipango madhubuti.Naamini kabisa hao unaowaogopa hata wao wanaogopa kukutana na Simba.
Hivi mtu mwenye akili timamu anayeujua mpira anawezaje kusema Simba Ni MBOVU? Kuna lugha nyingine mtu anaweza kuitumia lkn si kusema Simba Ni mbovu.

SIMBA ingetolewa Jana sijui leo ungeleta bandiko la aina gani km wamefuzu na umekuwa MCHAWI kiasi hiki.

Nakumbuka tangu mechi na RED ARROWS umekuwa ukipost uchawi tu, yaani huna hela wakishinda huna hela wakifungwa.

HAKUNA timu isiyo na weakness ktk eneo Fulani, ndiyo maana Kuna kusajili Kuna kuacha. Ila kwa wakati huu ni kushauri kwa mechi zinazokuja nini lifanyike kupata ushindi. Hao Mazembe siyo kwamba Ni bora Sana, Kuna wakati ubora haukusaidii bali mbinu na kujua unataka Nini.

SIMBA ikitolewa Ni matokeo tu ya mpira lkn si kwamba Ni timu mbovu. Hakuna timu mbovu inaweza kucheza makundi sembuse robo fainali.
 
Simba itacheza na Al Ahaly Tripol kwa Tanzania simba itashinda 3 kwa 1 na kule kwao Al Ahal atashinda 2 kwa 1
 
Sawa, lengo letu limetimia lakini la kufika robo fainali. Hata tukitolewa poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…