Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

Kama Simba Ni mbovu, hao waliotolewa tunawaitaje. Kuna timu mbovu inashinda goli nne bila?

Kimpira kila mfungaji Ni mchoyo, na kilichokosekana KWA simba jana hasa kipindi Cha kwanza Ni utulivu tu . Simba waliweza kuumiliki mchezo vilivyo. Ndiyo maana kipindi cha pili walirudi wakiwa wameshusha presha na kumaliza mechi.

Duniani kila timu huwa bonasi zipo, si dhambi, Ni moja ya njia ya kuchochea ari na kujituma.

Ni ushamba, upumbavu, kutojielewa kudhani kwamba Kuna uchawi, kuhonga waamuzi ndiyo maana Simba inashinda. Simba wanapambana kwa jasho na damu kupata matokeo mazuri.

Kwakweli Ni kukosa heshima, shukrani na uchawi kusema jana simba ilicheza mpira mbovu. MPIRA MBOVU DHIDI YA UPI MZURI WA GENDARMARIE?

Labda useme SIMBA Ni mbovu kwa kutinga robo fainali na akina Asec Mimosas Ni bora ndiyo maana walitolewa.

Hakuna mtu anayeujua mpira atamsajili Mayele kwamba atakusaidia kwa mechi za kimataifa. Kwa NBC premier league hapo sawa na tena anastruggle sana kufunga goli.

Hakuna timu ya kuitisha simba kati ya hao Pirate's, Mazembe nk ishu ni kujipanga, kujifunza na kujua wanataka Nini. Uamuzi wa kupata matokeo bora robo fainali uko mikononni kwa Simba.

Wachache Walio bora kati ya wengi ndiyo wamefuzu kwa robo fainali , hivi ndivyo watu positive hufikiri. Zaidi sasa ukishafuzu Ni kujipanga,kucheza kwa Ari na mipango madhubuti.Naamini kabisa hao unaowaogopa hata wao wanaogopa kukutana na Simba.
Hivi mtu mwenye akili timamu anayeujua mpira anawezaje kusema Simba Ni MBOVU? Kuna lugha nyingine mtu anaweza kuitumia lkn si kusema Simba Ni mbovu.

Ukiondoa timu ya Orlando Pirates,Mazembe HAKUNA timu nyingine yyte ya East Africa, Central and South of Sahara iliyobaki KTK mashindano haya shirikisho km so simba.Yanga ,Azam,Biashara,Kenya wako wapi.

Simba ipewe heshima yake. Mwakani tunapeleka timu nne Tena,sababu Ni Simba Hii inaitwa mbovu. Yanga wana Cha kujifunza.Yanga wanafanya vzr ktk ligi lkn nikuhakikishie kile kikosi kikienda kimataifa km kilivyo hawatafurukuta wanahitaji usajili mzito Sana.

SIMBA ingetolewa Jana sijui leo ungeleta bandiko la aina gani km wamefuzu na umekuwa MCHAWI kiasi hiki.

Nakumbuka tangu mechi na RED ARROWS umekuwa ukipost uchawi tu, yaani huna jema wakishinda huna jema wakifungwa. Mliombea Sana Simba ifungwe KTK kila mechi,mkaomba Jana wasifuzu Bado mkaumbuka.

Angalia jinsi ulivyoanza bandiko lako kwa kupongeza halafu ukanza uchawi. TUNAJUA NI JINSI GANI MNAUMIA KWA MAFANIKIO HAYA SIMBA. TUNAJUA NI JINSI GANI DUA ZENU MBAYA ZINAFELI.

HAKUNA timu isiyo na weakness ktk eneo Fulani, ndiyo maana Kuna kusajili Kuna kuacha. Ila kwa wakati huu ni kushauri kwa mechi zinazokuja nini lifanyike kupata ushindi. Hao Mazembe siyo kwamba Ni bora Sana, Kuna wakati ubora haukusaidii bali mbinu na kujua unataka Nini.

SIMBA ikitolewa Ni matokeo tu ya mpira lkn si kwamba Ni timu mbovu. Hakuna timu mbovu inaweza kucheza makundi sembuse robo fainali.
 
Yawezekana wengi humu hawajui kuwa lengo lako ni kuwa na thread nyiingi ili uonekane wewe ndo mwandishi mshiriki mkubwa humu JF
 
Hizo timu ulizotaja hapo juu sioni ya kutisha, naamini hata wao hawana hamu na Simba hii unayoiona mbovu.
 
Punguza ujuaji. You need to be smart!

Huko nje wanaiona SIMBA km timu bora inayoonyesha matarajio makubwa mbeleni lkn ukirudi humu ndani Ni chuki, roho mbaya na uchawi.
 
Baada ya Simba kutolewa robs fainali..

Nilipoleta mada hii hapa Jf kuna wajinga wenye low IQ (Mapopoma waandamizi) walinidhihaki na kuleta kejeli zisizo za msingi(za kiduwanzi) kumbe hawajui watu kama mimi na wachache hapa Jf tuliobarikiwa jicho la kuona (High level of IQ)mbali na ubobezi Ktk uchambuzi huwa tunanaongea point.

Badala ya kufuata ushauri wangu mkaanza kunishambukia kwa ujuha wenu haya sasa mkowapi ? njoeni tena mpinge.
 
Umenikumbusha maneno ya kocha wa Al Ahly Pitso , aliwahi kusema michezo ya klabu bingwa afrika inaanzia robo fainali, huko kwenye makundi ni kama pre- match tu,
 

Wewe tulishakugundua siku nyingi kuwa ni utopolo dam dam!! yule yule all rounder! Una ID kibao!!
 
Gentamycine ni yanga lia lia!! Kajaribu kujificha yamemshinda!! Hutumia pia Id Nyingine kama all Rounder na Nyingine nyingi!!
 
Yaani mashabiki wa Tanzania wana dunia yao kwa kweli kwenye mpira kuna mechi za kucheza kwa mbinu na zakujilipua ile mechi ya jana ilikuwa ya mbinu japo simba walikosa nafasi nyingi na ndio maana mechi ya marudiano kati ya kaizer chief na simba kaizer chief walizidiwa kila kitu na simba ila simba akatoka kwenye mpira tunaangalia matokeo haijalishi umeyapataje huo mpira wa pasi muachie Guardiola.
 
Hata kama Simba ina timu mbovu lakini wamethibitisha pasi na shaka uwanja wa nyumbani wanautendea haki.

Wao mechi zao ni kwa Mkapa tu, ukiweza kuwadhibiti kwa Mkapa basi shughuri imekwisha.
 
Labda ulicheza kigodoro.....mi sijakuona Taifa Ukicheza. Umaarufu wa style hii hupati. Watu wana akili siku hizi.
 
Naomba huu uzi udumu
Bwana Genty tupo pamoja na hilo nami nishaliona kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…