Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

Watu kama nyie ndo mnafanya nisiiamini JF

Inawezekana kukosea kwa ulichokiandika ila unavyozidi kubisha napata shaka na lengo la mabandiko yako hapa JF
 
Simba atatinga robo fainal iwapo tu hawa wachezaji watatu wakipewa onyo na ushauri wa kisaikolojia .
1.Morrison aambiwe aache ubinafsi ,yule jamaa ni mchezaji mzuri Sana na mpira anaujua haswa shida yake ubinafsi na kutaka kuzungumziwa yeye na kutaka ufalame, aambiwe timu kwanza alafu yeye afuate ,mfano Jana matokeo liyashikilia yeye ,kipindi cha kwanza tu kazi ilikua inaisha ila nadhan aliambiwa kwenye changing room na kipindi cha pili kweli aliacha uchoyo na hatimae kupata matokeo ,narudia tena uongozi wa Simba ukae nae huyu mtu na kumchana ukweli.

2.Sacko .
Huyu maelezo ya bm3 yote yanaangukia hapa.

3.Kanoute .
Huyu dogo niseme tu ukweli mm sijawah mwelewa ni mtu anayepoteza Sana mipira na Jana ilikua bahat tu kwa upande wetu lasivyo angetugharimu ,pmaoja na kwamba alifunga kwa kutoa bikra ila sio wa kumwamini Sana huyu.

Nyongeza ni Onyango huyu nae sio wa kumwamini pass mbovu ,na Jana kidogo atukost ni bahat adebayo alimkwepa lile lingekua tuta ,jamaa Ana making mbovu Sana pale anapozidiwa na opponent wake .
Onyango atafutiwe mbadala msimu ujao
 
Maelezo marefu yenye Pumba na Takataka tupu tu.
 
Naomba huu uzi udumu
Bwana Genty tupo pamoja na hilo nami nishaliona kaka!
Najiamini Mkuu na wala sikatishwi tamaa na hawa Majuha ( Fools ) wengi wanaonishambulia hapa.

Tena kwa Jeuri kabisa na kwa Kujiamini nasisitiza tena kuwa mwisho wa Simba SC ni hapa Robo Fainali tulikofika na Nusu hatufuzu.
 
Eti uzamishwe baharini na jiwe....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna mechi Simba imeshinda, watu wakakubali. Majungu kibao, lakini inasonga mbele tu!
 
Maelezo marefu yenye Pumba na Takataka tupu tu.
wanaelewa wenye ubongo. Popoma km wewe utaelewa nn nje ya box

Huna akili dadangu, hauko smart km unavyojidhania. Kuna watu smart humu. Wewe umekalia uchawi na ulozi tu.
 
Huyu mtu ana matatizo ya akili mpira wote bado linalalamika tu.
 
Mechi za ligi ni tofauti sana na mtoano (knock out), kwenye knockout stage kinachotakiwa sio mpira sambusa bali mbinu za kumzuia mpinzani asikufunge. Mfano mzuri no Atletico Madrid ya Diego Simone, hubadilika kulingana na mahitaji ya mchezo husika.

Kwenye hatua ya knockout, Atletico Madrid hufanya kazi ya kuziui zaidi kuliko kushambulia.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…