Yaani we dada....[emoji39][emoji39][emoji39]
Kekiiii....
Heri ya Sikukuu na Fanaka kwako na familia yako.
Yaani, vikibaki naomba asubuhi nije kunywa chai tafadhali. Ntakuja na kikombe changu cha juice.
Hongera kwa mapishi [emoji7].
View attachment 2057473Nimemaliza
Karibu Mbagala...
We mwanamke..
Hizo katlesi(kikinga),, bado zipo au zimeisha..
Tag location plz