Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

Yaani, vikibaki naomba asubuhi nije kunywa chai tafadhali. Ntakuja na kikombe changu cha juice.

Hongera kwa mapishi [emoji7].

Njoo juice ipo ka cocktail flani iv amazing ka embe, nanasi, chungwa, passion na vanilla
 
Njoo juice ipo ka cocktail flani iv amazing ka embe, nanasi, chungwa, passion na vanilla

Wuuhuuuu asantee, on my way ...... ukisikia knock knock ujue ni Kasie some food 😋.
 
Wewe Mama Kasie ,, Yafaa nini kututamanisha misosi ilihali hutoi location...

Amini amini nakuambieni, Udugu wetu ni hazina yetu.
 
Back
Top Bottom