Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
beyonce-jayz-gty-ml-241210_1733835901084_hpMain_9x16.jpg

Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
 
Vitoto vya 2000 vinazeeka saana....Angalia hata mitaani.

Kwanza vina kazwa saana .
Pili, havifanyi kazi miili legelege.
Tatu, muda mwingi vipo kwenye gadgets sura zinakomaa na macho yanafura.
Mambo ni mengi....Ila fuatilia vya kiume ndiyo kabisa utadhani vimezaliwa 74.

Unadhani Marioo ana umri gani au yule demu wake? Guess halafu ulizia umri wao
 
Wanawahi kuzeeka
 
Wanawahi kuzeeka
Nilienda kwenye mkutano wa wazazi shuleni mwalimu akasema.
Sikuhizi wanatatizo kubwa saana darasani hasa la usikivu. Watoto karibu asilimia 90 hawawezi kumsikiliza mwalimu walau kwa dakika 20 mfululizo.

Akasema mnajua sababu nini? Hapana.
Shida wanatumia muda mwingi kuangalia videos kwenye simu. Milango yote ya fahamu imefungwa kwenye simu na videos za TikTok, reels za FB or IG ni nzuri kweli and very catchy , interesting etc... hivyo hawawezi kusikiliza mtu anaongea ongea ndani ya chumba kilichojaaa madawati na vitabu.
 
View attachment 3185340

Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
Mkuu unafahamu kitu inaitwa Adrenechrome?
 
Vitoto vya 2000 vinazeeka saana....Angalia hata mitaani.

Kwanza vina kazwa saana .
Pili, havifanyi kazi miili legelege.
Tatu, muda mwingi vipo kwenye gadgets sura zinakomaa na macho yanafura.
Mambo ni mengi....Ila fuatilia vya kiume ndiyo kabisa utadhani vimezaliwa 74.

Unadhani Marioo ana umri gani au yule demu wake? Guess halafu ulizia umri wao
jf ina shida gani na gen z?
 
Back
Top Bottom