Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

Jay z ndo anazidi kuonekana kama jambazi flani hivi
Akileta ubisho soon B atabanduliwa na vijana wa 2000 km ilivyotokea kwa Jada wa Will Smith vijana wa 2000 wanakula mpaka tope sababu ya Will kuleta ubishoo kwa hio lazima aonyeshe ufather ukoloni na ubandidu sura ya kauzu unaijua dagaa kauzu ushawahi kumuona anachekacheka?
 
Vitoto vya 2000 vinazeeka saana....Angalia hata mitaani.

Kwanza vina kazwa saana .
Pili, havifanyi kazi miili legelege.
Tatu, muda mwingi vipo kwenye gadgets sura zinakomaa na macho yanafura.
Mambo ni mengi....Ila fuatilia vya kiume ndiyo kabisa utadhani vimezaliwa 74.

Unadhani Marioo ana umri gani au yule demu wake? Guess halafu ulizia umri wao
Sema hapo umeongea neno

Cc Kasie
 
Back
Top Bottom