Wanawahi kuzeekaVitoto vya 2000 vinazeeka saana....Angalia hata mitaani.
Kwanza vina kazwa saana .
Pili, havifanyi kazi miili legelege.
Tatu, muda mwingi vipo kwenye gadgets sura zinakomaa na macho yanafura.
Mambo ni mengi....Ila fuatilia vya kiume ndiyo kabisa utadhani vimezaliwa 74.
Unadhani Marioo ana umri gani au yule demu wake? Guess halafu ulizia umri wao
Nilienda kwenye mkutano wa wazazi shuleni mwalimu akasema.Wanawahi kuzeeka
Jamaa kaamua awe father sio bitozi tena km Will Smith ili kulinda tunda lake Beyonce asije akageuka kua Jada kwa hio lazma J awe bandidu na sura pia ni bandidu mwanzo mwisho mwendo wa kujifukiza mimoshi km BoB MarleyNa Jay-Z anazidi kuonekana kama Mwehu
Mkuu unafahamu kitu inaitwa Adrenechrome?View attachment 3185340
Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
jf ina shida gani na gen z?Vitoto vya 2000 vinazeeka saana....Angalia hata mitaani.