Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kilichonivutia, hakuna kati yao aliyevaa kishika Maziwa (brah), kwahiyo nyonyo bado linadai

Ila to be honest, ningekuwa mshauri wa Jigga ningemwambia akate hizi nywele kurudia mwonekano wake wa zamani

Hizo nywele za marasta hazijamkaa vyema
 
Duh! Unamuongeleaje hivyo mtoto wa miaka 12?
 
Kilichonivutia, hakuna kati yao aliyevaa kishika Maziwa (brah), kwahiyo nyonyo bado linadai

Ila to be honest, ningekuwa mshauri wa Jigga ningemwambia akate hizi nywele kurudia mwonekano wake wa zamani

Hizo nywele za marasta hazijamkaa vyema

Inabidi kwanza Hov mwenyewe ajibu kwanini amechagua free form dreadlocks badala ya low cut aliyozoeleka nayo.

Sijawahi kusikia akiulizwa hili lakini nafahamu Hov amekuwa akiongelea na kusisitiza umuhimu wakuwa authentic lakini pia kuwa huru sasa labda mtazamo huu ndiyo umemfanya achague free form dreadlocks. Kumbuka hili, ni nadra sana mtu yoyote awe rastafari au vinginevyo anaweza kuchagua kuwa na free form locs bila ya spiritual reasons au nia unayojiwekea mwenyewe kwamba dreadlocks zangu kila zinapokuwa zitawakilisha progress yangu katika personal growth.

Kama huna sababu muhimu huwezi kukuza nywele zako ziwe free form locs utakata tu au hutazipenda.
 
Learn about cosmetic surgey...

 
Adrenochrome niliifuatilia ila naona ni kama conspiracy hivi labda utuwekee solid evidences and why watu wazima hawazalishi?
Kuhusu watu wazima kuzalisha Adrenechrome, kwanza tambua kila binadamu ana kiwango au homoni ya Adrene, na hicho ni kiungo muhimu katika mwili.

Watoto wadogo ndyo hutumika zaidi kwasababu bado wapo pure, energy yao ni changa na haijachafuka.

Pia Adrenechrome hutumika kama dawa ya kulevya na huuzwa kwa thamani kubwa sana, ili iweze kulevya ipasavyo wanaitoa kwa mtoto mchanga, kwanza wanamtesa ili apate frustration na Ile homoni iwe kali zaidi.

By the way hii ni mada pana sana, inahitaji muda na maelezo ya kutosha.
 
Kwa kweli huo muonekano wake, haujakaa vizuri labda Kwa kuwa hatujamzoea kuwa hivyo
 
NImewahi kukutana na mzee wa Kijapani ana umri wa miaka 124 mwaka jana.... lakini anaonekana kama mtu wa miaka 60 hivi.......Siri yake kubwa ni kushinda na njaa(kufunga) hana ratiba maalum ya kula chakula na anapokula hula kidogo ili asishibe(mlo kamili kiasi kidogo)....Tokea hapo nikaanza kumuelewa Dr,Janabi kwa mbaali...
 
Kwahyo msuguri naye alikua hali si ndiyo na amekufa akiwa 104 tena nywele bila mvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…